-
Tripoli yatishia kuyafutia leseni mashirika ya kigeni nchini Libya
May 10, 2019 21:48Serikali ya Umoja wa Kitaifa Libya (GNA) yenye makao yake Tripoli na ambayo inaungwa mkono na jamii ya kimataifa imetishia kuyapokonya leseni mashirika 40 ajinabi likiwemo shirika la mafuta la Ufaransa Total yanayohudumu nchini humo.
-
Ufaransa yatahadharisha juu ya matokeo mabaya ya vita vya kibiashara kati ya Marekani na China
May 10, 2019 21:47Waziri wa Fedha wa Ufaransa ametahadharisha juu ya kushtadi vita vya kibiashara kati ya Marekani na China na kuongeza kuwa, vita hivyo ni tishio kubwa kwa ustawi wa dunia nzima.
-
Amnesty: Ufaransa haiaminiki tena kwa kuendelea kuiuzia silaha Saudia
May 10, 2019 09:09Shirika la kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Ufaransa isitishe uuzaji wa silaha zake kwa Saudi Arabia na washirika wake katika vita vya Yemen, likisisitiza kuwa serikali ya Paris haiaminiki tena kwa madai yake kwamba silaha hizo hazitumiki dhidi ya raia.
-
China, Russia, Ufaransa na Ujerumani zatoa radiamali zao kufuatia tangazo la Iran
May 08, 2019 09:20Russia, China, Ufaransa na Ujerumani ambazo ni katika nchi tano zilizosalia katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA zimetoa radimali kufuatia uamuzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kusimamisha kwa muda utekelezaji wa baadhi ya ahadi zake kuhusu mapatano hayo, ikiwa ni mwaka mmoja baada ya Marekani kujitoa kwa upande mmoja katika mapatano hayo muhimu ya kimataifa.
-
Idadi ya askari wanaojiua nchini Ufaransa yaongezeka
May 03, 2019 00:05Duru za habari nchini Ufaransa zimeripoti habari ya ongezeko la idadi ya askari wanaojiua nchini humo.
-
Walibya waandamana mjini Tripoli kulaani hatua za Ufaransa dhidi ya nchi yao
Apr 27, 2019 08:28Raia wa Libya wamefanya maandamano katika medani kuu ya mji wa Tripoli wakiwa wamevalia vizibao vya njano kama wanavyofanya washiriki wa maandamano ya vizibao vya njazo kupinga siasa za kiuchumi za serikali ya Ufaransa, ambapo nao wamelaani mienendo hasi ya serikali ya Paris dhidi ya nchi yao.
-
Balozi wa Ufaransa Washington: Mpango wa Marekani wa muamala wa Karne umeshindwa zamani
Apr 22, 2019 22:52Balozi wa Ufaransa mjini Washington amesisitiza kuwa, kuna asilimia 99 ya uwezekano wa kufeli mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne" wa eti kutatua mgogoro wa Palestina na Israel.
-
Taasisi za Kiislamu za Ufaransa: Imarati na Misri zinawapaka matope Waislamu
Apr 22, 2019 22:51Umoja wa Taasisi za Kiislamu za Ufaransa umesema kuwa, vitendo vya Umoja wa Falme za Kiarabu na Misri vinaupaka matope Uislamu duniani na kupelekea kuongezeka mashambulizi dhidi ya Waislamu barani Ulaya.
-
Ufaransa: EU itaendelea kushirikiana na Iran licha ya tangazo la Marekani dhidi ya IRGC
Apr 13, 2019 03:37Ufaransa imesema itaendelea kushirikiana na Iran licha ya hatua ya Marekani ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC katika orodha yake ya makundi ya kigaidi.
-
Rouhani: Kama si jitihada za IRGC, nchi mbili za eneo zingekuwa zinadhibitiwa na magaidi wa Daesh
Apr 10, 2019 03:34Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, iwapo Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) halingeingilia kati, basi kwa uchache mataifa mawili katika eneo hili la Asia Magharibi yangekuwa chini ya udhibiti wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).