-
Russia na Ufaransa kuendelea kufungamana na JCPOA
May 15, 2018 22:11Siku chache baada ya Rais Donald Trump kutangaza kuiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayofahamika kama JCPOA, kwa mara nyingine tena marais wa Russia na Ufaransa wamesisitizia umuhimu wa pande zilizosalia kuendelea kufungamana na mapatano hayo ya kimataifa.
-
Erdogan: Shakhsia wanaoiponda Qur'ani Ufaransa hawana ufahamu nayo
May 08, 2018 22:27Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amelitaja kundi la shakhsia 300 wa Ufaransa wanaotaka kuondolewa baadhi ya aya katika kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa madai kuwa ni za kichochezi na zilizopitwa na wakati kuwa ni genge lisilo la maana na linalopaswa kutwezwa.
-
Troika ya Ulaya: Tutalinda makubaliano ya JCPOA bila kujali uamuzi wa Trump
May 07, 2018 20:54Nchi tatu za Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zimetoa taarifa ya pamoja na kuutangazia ulimwengu kuwa zitaendelea kuheshimu mapatano ya nyuklia ya JCPOA bila ya kujali uamuzi wa Marekani.
-
Matamshi ya Trump yaamsha hasira za wananchi na viongozi wa Ufaransa na Uingereza
May 06, 2018 12:07Matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu mashambulio ya kigaidi yaliyotokea Ufaransa na Uingereza yameamsha hasira za wananchi na viongozi wa nchi hizo.
-
Ufaransa: Kuihifadhi JCPOA ni kipaumbele chetu, kujitoa ni kutangaza vita
May 05, 2018 03:23Mwakilishi wa kudumu wa Ufaransa katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, kuyalinda mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kwa jina la JCPOA ndicho kipaumbele cha nchi yake.
-
Viongozi wa Kiislamu Ufaransa wakosoa wito wa 'kufutwa' baadhi ya aya za Qurani
Apr 28, 2018 03:26Viongozi wa Kiislamu nchini Ufaransa wamekosoa vikali ombi lililowasilishwa na shakhsia 300 wa Ufaransa waliotaka kuondolewa baadhi ya aya katika kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa madai kuwa ni za kichochezi na zilizopitwa na wakati.
-
Kufichuliwa ushirikiano wa serikali ya Ufaransa na kundi la kigaidi la ISIS
Apr 25, 2018 22:12Hivi karibuni kulisambaa ripoti kuhusu ushirikiano baina ya serikali ya Ufaransa na kundi la magaidi wakufurishaji wa ISIS (Daesh) ambapo mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Lafarge la kutengeneza seruji alisema: "Tuliitaarifu serikali ya Ufaransa kuhusu malipo ya fedha kwa magaidi wa ISIS".
-
Darul Iftaa ya Misri yakosoa ombi la shakhsia 300 wa Ufaransa
Apr 25, 2018 10:03Katibu wa Idara Kuu ya Misri inayohusika na Fatwa za Kiislamu (Darul Iftaa) amekosoa ombi lililowasilishwa na shakhsia 300 wa Ufaransa waliotaka kuondolewa baadhi ya aya katika kitabu kitakatifu cha Qur'ani.
-
Waislamu Ufaransa walaani makala iliyopotosha Qur'ani tukufu
Apr 24, 2018 11:59Waislamu nchini Ufaransa wamelaani vikali kitendo cha kuchapishwa makala iliyovunjia heshima na kupotosha kitabu kitakatifu cha Qur'ani nchini humo.
-
Iran: Marekani ikijitoa katika JCPOA, tutaanzisha tena shughuli za nyuklia kwa kiwango cha kisasa zaidi
Apr 23, 2018 00:09Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, chaguo kuu la Iran endapo Marekani itajitoa katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA ni kuanzisha tena shughuli za nyuklia za taifa hili zenye malengo ya amani lakini kwa kiwango cha juu na cha kisasa zaidi.