-
Malengo ya safari ya pamoja ya Mawaziri wa Ulinzi na Mambo ya Nje wa Ufaransa nchini Iraq
Aug 27, 2017 21:46Juzi Jumamosi tarehe 26 Agosti, Jean-Yves Le Drian na Florence Parly, Mawaziri wa Mambo ya Nje na Ulinzi wa Ufaransa, waliwasili Baghdad, mji mkuu wa Iraq wakiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa nchi yao kwa ajili ya kufanya mazungumzo na viongozi wa Baghdad.
-
Ufaransa na mgogoro wa wakimbizi wa Calais
Aug 03, 2017 21:56Mamia ya wakimbizi walioko katika kambi ya Calais huko kaskazini mwa Ufaransa wanaendelea kusumbuliwa na hali mbaya kupita kiasi, na siasa na sera tofauti na zinazokinzana za viongozi wa Ufaransa zimezidisha hali mbaya ya wakimbizi hao.
-
Pirikapirika za Ufaransa za kuwa na nafasi katika nchi iliyogawanyika ya Libya
Jul 27, 2017 07:25Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekutana na kufanya mazungumzo mjini Paris na viongozi wa pande zinazovutania uongozi wa Libya uliogawanyika.
-
Viongozi hasimu wa Libya wakutana Paris, wakubali kusitisha vita
Jul 25, 2017 22:39Kamanda wa majeshi ya Libya mashariki mwa nchi hiyo, Jenerali Khalifa Haftar na Fayez al Sarraj, Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo, magharibi mwa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika wamekubaliana kusitisha vita kwa masharti.
-
Qatar: Ugaidi wa kisiasa ndio kikwazo cha vita dhidi ya ugaidi
Jul 15, 2017 23:45Serikali ya Qatar imetangaza kuwa, ugaidi wa kisiasa na kifikra wa baadhi ya nchi za eneo la Mashariki ya Kati ndio kikwazo kikuu hii leo katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Utendaji wa kibaguzi wa Rais wa Ufaransa kuhusiana na bara la Afrika
Jul 13, 2017 22:22Matamshi ya Rais wa Ufaransa kuhusiana na changamoto ya ustaarabu barani Afrika yamekabiliwa na malalamiko na upinzani mkubwa na akthari ya watu wameyatathmini matamshi yake hayo kuwa ni ya kibaguzi.
-
Rais wa Algeria amtaka mkoloni Mfaransa aiombe radhi nchi yake
Jul 06, 2017 03:11Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria kwa mara nyingine amemtaka mkoloni mkongwe wa Ulaya yaan Ufaransa aiombe radhi rasmi nchi yake kutokana na jinai kubwa alizowafanyia wananchi wa Algeria.
-
Velayati: Mataifa ya eneo hili hayatasalimu amri mbele ya misimamo mikali
Jul 03, 2017 23:15Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistratejia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, mataifa ya eneo hili hayatasalimu amri mbele ya matakwa ya mirengo yenye misimamo mikali na waungaji mkono wao.
-
Waislamu Ufaransa watahadharishwa kuhusu ongezeko la mashambulizi ya kigaidi
Jul 03, 2017 08:25Viongozi wa makundi na jumuiya mbalimbali za Kiislamu nchini Ufaransa wamewatahadharisha wafuasi wa dini hiyo kuhusu uwezekano wa kuongezeka mashambulizi yanayowalenga Waislamu nchini humo.
-
Watu 8 wajeruhiwa katika hujuma msikitini Ufaransa
Jul 03, 2017 03:30Watu 8 wamejeruhiwa baada ya kufyatuliwa risasi mbele ya mlango ya msikiti kusini mwa Ufaransa.