-
Ufaransa na malengo ya kisiasa na kiuchumi katika eneo la Sahel, Afrika
Jul 03, 2017 02:32Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa aliwasili jana mjini Bamako, mji mkuu wa Mali kwa lengo la kushiriki katika kikao kilichopewa anwani ya 'Kundi la Nchi Tano za Sahel' na katika fremu ya kuundwa kikosi cha kijeshi cha nchi za eneo hilo.
-
Ufaransa yasisitiza kupambana na ugaidi barani Afrika
Jul 02, 2017 10:31Rais wa Ufaransa amesisitizia udharura wa kupambana ugaidibarani Afrika. Amesisitiza hayo leo katika kikao kilichofanyika Bamako, mji mkuu wa Mali.
-
Nyaraka mpya zafichua nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda
Jul 01, 2017 08:35Nyaraka mpya za kihistoria zilizochapishwa hivi karibuni kwa mara nyingine tena zimethibitisha nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda baada ya kupita miaka 23 tangu kutekelezwa mauaji hayo.
-
Sisitizo la Macron la kubadilika siasa za Ufaransa mkabala na Syria
Jun 22, 2017 22:02Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alisisitiza Jumatano wiki hii kwamba kumuondoa madarakani Rais Bashar al Assad wa Syria si jambo linalopewa kipaumbele tena na Ufaransa kama njia ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo. Macron amebainisha kuwa nchi yake hivi sasa inatoa kipaumbele kwa suala la kupambana na ugaidi huko Syria.
-
Macron: Si muhimu sasa suala la kuondolewa Assad madarakani huko Syria
Jun 22, 2017 03:33Rais wa Ufaransa amesema kuwa, suala la kuondolewa madarakani Rais Bashar Assad wa Syria halipewi tena kipaumbele kwa ajili ya kutatua mgogoro wa nchi hiyo katika mtazamo wa Ufaransa.
-
Sisitizo la Ufaransa na Ivory Coast la kuimarisha uhusiano baina yao
Jun 12, 2017 06:23Marais Alassane Ouattara wa Ivory Coast na Emmanuel Macron wa Ufaransa wamesisitiza katika mazungumzo yao ya kwanza tangu Rais huyo mpya wa Ufaransa aliposhika hatamu za uongozi juu ya umuhimu wa kuimarisishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali za kisiasa, kiuchumi na kiusalama.
-
Rais Rouhani afanya mazungumzo na rais mpya wa Ufaransa
May 23, 2017 03:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran itaendelea kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Vienna.
-
Sisitizo la Ufaransa la kuendelea kuwepo nchini Mali
May 21, 2017 02:47Katika safari yake ya kwanza barani Afrika, rais mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron amesisitizia juu ya kuendelea kuwepo askari wa nchi yake nchini Mali kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi.
-
Macron aahidi kufungua ukurasa mpya katika siasa za Ufaransa
Apr 24, 2017 03:45Mgombea wa urais wa harakati ya mrengo wa wastani wa En Marche nchini Ufaransa ameahidi kubadili taswira na mkondo wa siasa za nchi hiyo iwapo ataibuka mshindi katika duru ya pili ya uchaguzi wa urais nchini humo.
-
Ukungu wa giza wa uchaguzi wa rais nchini Ufaransa
Apr 22, 2017 23:53Shambulizi la kigaidi lililofanyika majuzi katika mtaa wa Champs-Élysées mjini Paris, Ufaransa siku kadhaa kabla ya uchauzi wa rais wa nchi hiyo si tu kwamba umezidisha anga ya kipolisi nchini humo, bali pia limezidisha wingu la giza kuhusu matokeo ya uchaguzi huo kwa kuathiri kiwango cha uungaji mkono wa raia kwa wagombea wa nafasi hiyo.