Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugaidi

  • Kukiri balozi wa UK kwamba waitifaki wa Marekani ndio wafadhili wakubwa kifedha wa ugaidi nchini Iraq

    Kukiri balozi wa UK kwamba waitifaki wa Marekani ndio wafadhili wakubwa kifedha wa ugaidi nchini Iraq

    Nov 29, 2018 23:17

    Balozi wa Uingereza nchini Iraq Jonathan Wilks, ametoa matamshi muhimu kwa kukiri kwamba Qatar, Saudi Arabia na Imarati (UAE) ndio waliofadhili ugaidi nchini Iraq kwa kiwango kikubwa zaidi cha fedha.

  • HAMAS: Marekani ni mshirika wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ugaidi wa kimataifa

    HAMAS: Marekani ni mshirika wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ugaidi wa kimataifa

    Nov 20, 2018 11:57

    Mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS nchini Lebanon amesema, Marekani ni mshirika wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kuongoza ugaidi wa kimataifa na dhulma dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • Larijani: Kundi la kigaidi la Daesh lilianzishwa na Marekani

    Larijani: Kundi la kigaidi la Daesh lilianzishwa na Marekani

    Nov 11, 2018 09:01

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa kundi la kigaidi la Daesh lilianzishwa na Marekani na kwamba madai kuwa serikali ya Washington inapambana na ugaidi siyo ya kweli.

  • Undumakuwili wa Marekani kuhusu mapambano dhidi ya ugaidi kwa mtazamo wa Zarif

    Undumakuwili wa Marekani kuhusu mapambano dhidi ya ugaidi kwa mtazamo wa Zarif

    Nov 10, 2018 07:50

    Baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 katika miji ya Washington na New York huko Marekani, Rais wa wakati huo wa nchi hiyo, George W. Bush aliwanyooshea kidole cha tuhuma Waislamu na kuiarifisha Marekani kuwa ni mbeba bendera ya kupambana na ugaidi.

  • Lavrov atahadharisha kuhusu hatari ya ugaidi duniani

    Lavrov atahadharisha kuhusu hatari ya ugaidi duniani

    Nov 08, 2018 04:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema ugaidi ungali upo kote ulimwenguni na ni jambo la hatari kwa nchi zote licha ya mafanikio yaliyopatikana katika mapambano dhidi ya janga hilo.

  • BBC: Timu ya mauaji yenye watu 50 ya Saudia ilihusika katika mauaji ya Khashoggi na wengineo

    BBC: Timu ya mauaji yenye watu 50 ya Saudia ilihusika katika mauaji ya Khashoggi na wengineo

    Nov 08, 2018 01:18

    Ripoti iliyotayarishwa na Idhaa ya Kiarabu ya BBC imefuichua kwamba, timu ya mauaji ya Wasaudia 50 iliundwa msimu wa joto uliopita kuwaangamiza wapinzani ndani na nje ya Saudi Arabia.

  • Uturuki: Timu ya mauaji ya Khashoggi imefanya mauaji kama hayo huko nyuma

    Uturuki: Timu ya mauaji ya Khashoggi imefanya mauaji kama hayo huko nyuma

    Nov 02, 2018 12:54

    Vyombo vya Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki vimefuichua kuwa, Ankara ina ushahidi unaothibitisha kuwa, timu ya mauaji ya Saudi Arabia iliyoshiriki katika mauaji ya kigaidi dhidi ya mwandishi na mkosoaji wa serikali ya kifalme ya nchi hiyo, Jamal Khashoggi mjini Istanbul yapata mwezi mmoja uliopita, iliwahi kufanya mauaji kadhaa kama hayo hapo kabla.

  • Ongezeko la vitendo vya kigaidi nchini Libya lautia wasiwasi Umoja wa Mataifa

    Ongezeko la vitendo vya kigaidi nchini Libya lautia wasiwasi Umoja wa Mataifa

    Oct 31, 2018 12:14

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa kuongezeka vitendo vya kigaidi katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo ukiwemo mji mkuu Tripoli, linatia wasiwasi mkubwa.

  • Zarif: Misimamo mikali na ugaidi havina dini wala taifa

    Zarif: Misimamo mikali na ugaidi havina dini wala taifa

    Oct 29, 2018 11:37

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekemea vikali shambulizi la kigaidi lililolenga hekalu la Kiyahudi la Tree of Life huko Pittsburgh, katika jimbo la Pennsylvania nchini Marekani na kusisitiza kuwa, ukatili na ugaidi havina dini wala mbari na vinapaswa kulaani kwa hali yoyote ile.

  • Waislamu Marekani waendesha mchango wa kuwasaidia Mayahudi waliouliwa kigaidi na Mkristo Robert Bowers

    Waislamu Marekani waendesha mchango wa kuwasaidia Mayahudi waliouliwa kigaidi na Mkristo Robert Bowers

    Oct 29, 2018 10:57

    Jumuiya ya Waislamu wa Marekani imefanikiwa kukusanya mchango wa makumi ya maelfu ya dola katika juhudi zao za kuwasaidia wahanga wa shambulizi la kigaidi lililotokea katika hekalu la Kiyahudi la mjini Pittsburgh na kuua watu 11 na kujeruhi wengine sita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS