Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugaidi

  • Jamii ya kimataifa yazidisha mashinikizo dhidi ya Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Jamii ya kimataifa yazidisha mashinikizo dhidi ya Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi

    Oct 26, 2018 01:19

    Jamii ya kimataifa imezidisha mashinikizo dhidi ya utawala wa kifalme wa Saudi Arabia ambao umekiri kwamba maafisa wake walimuua mwandishi na mkosoaji wa utawala huo, Jamal Khashoggi zaidi ya wiki mbili zilizopita mjini Istanbul, Uturuki.

  • Balozi: Wamagharibi wameipa Saudia kinga ya kufanya inachotaka

    Balozi: Wamagharibi wameipa Saudia kinga ya kufanya inachotaka

    Oct 12, 2018 04:18

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini London amesema utawala wa Aal-Saud umepewa kinga kamili na nchi za Magharibi ya kufanya unalotataka, na ndiposa hautaki hata kukosolewa juu ya mwenendo wake wa kueneza ugaidi na kukiuka haki za binadamu.

  • FATF yakataa uanachama wa Saudia, Riyadh bado inafadhili ugaidi

    FATF yakataa uanachama wa Saudia, Riyadh bado inafadhili ugaidi

    Oct 01, 2018 23:41

    Saudi Arabia imekataliwa uanachama kamili katika Shirikisho la Kupambana na Fedha Chafu na Ufadhili wa Makundi ya Kigaidi (FATF), ambayo ni bodi ya kimataifa ya kupambana na fedha chafu na ufadhili wa kifedha wa makundi ya kigaidi.

  • Gazeti la Marekani: Hakuna nchi yoyote inayoifikia Saudia kwa kuunga mkono ugaidi

    Gazeti la Marekani: Hakuna nchi yoyote inayoifikia Saudia kwa kuunga mkono ugaidi

    Sep 30, 2018 04:34

    Gazeti la The Boston Globe linalochapishwa nchini Marekani limekosoa siasa za undumakuwili za serikali ya nchi hiyo kuhusiana na ugaidi na kueleza kwamba hakuna nchi yoyote duniani ambayo imeifikia Saudi Arabia kwa kuunga mkono ugaidi.

  • Bahram Qassemi: Saudia ni chanzo na muungaji mkono mkuu wa ugaidi duniani

    Bahram Qassemi: Saudia ni chanzo na muungaji mkono mkuu wa ugaidi duniani

    Sep 29, 2018 21:57

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa chanzo cha ugaidi ambao hii leo umeitumbukiza dunia katika matatizo hususan eneo la Mashariki ya Kati, si mahala pengine ghairi ya Saudi Arabia kupitia fikra na misimamo ya kufurutu ada inayoenezwa na kudhaminiwa kifedha na utawala wa nchi hiyo.

  • Mapambano dhidi ya ugaidi, Iran haitalegeza kamba

    Mapambano dhidi ya ugaidi, Iran haitalegeza kamba

    Sep 14, 2018 19:26

    Mashambulizi yaliyofanywa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (Sepah) dhidi ya makao ya magaidi huko kaskazini mwa Iraq yameonesha tena kwamba, kinyume na baadhi ya nchi za Magharibi, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina misimamo ya wazi kuhusu suala la kupambana na ugaidi na kwamba haitalegeza kamba wala kulegalega katika kulinda usalama wa taifa, ardhi yake na vitisho vya kijeshi.

  • Iran: Marekani inayatumia makundi ya kigaidi kufikia malengo yake

    Iran: Marekani inayatumia makundi ya kigaidi kufikia malengo yake

    Sep 09, 2018 03:19

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani inatumia njia zote kukiwemo kuyatumia makundi ya kigaidi kufikia malengo yake pasina kujali madhara kwa nchi nyingine.

  • Zarif: Mapatano ya kumaliza ugaidi na mateso ya wananchi wa Idlib Syria yameshafikiwa

    Zarif: Mapatano ya kumaliza ugaidi na mateso ya wananchi wa Idlib Syria yameshafikiwa

    Sep 07, 2018 20:52

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katika kikao cha pande tatu za Iran, Russia na Uturuki kilichofanyika hapa Tehran jana Ijumaa, kumefikiwa mapatano ya kumaliza ugaidi na mateso ya wananchi wa mkoa wa Idlib, nchini Syria.

  • Kukaririwa tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran

    Kukaririwa tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran

    Aug 19, 2018 00:01

    Katika kipindi chote cha miaka 40 ya kuasisiwa mfumo wa Jamhuriya Kiislamu nchini Iran, Marekani daima imekuwa ikifuatilia na kutoa tuhuma maalumu na zisizo na msingi dhidi ya taifa la Iran.

  • Marekani, Saudia zashirikiana na Al Qaeda Yemen kukabiliana na Ansarullah

    Marekani, Saudia zashirikiana na Al Qaeda Yemen kukabiliana na Ansarullah

    Aug 07, 2018 23:43

    Uchunguzi mpya umebaini kuwa muungano unaoongozwa na Saudia katika vita dhidi ya watu wa Yemen unashirikiana na magaidi wa Al Qaeda chini ya maelekezo ya Marekani kwa lengo la kukabiliana na harakati ya Ansarullah.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS