Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugaidi

  • Tuhuma hewa za Pompeo dhidi ya Iran; kuendelezwa mtazamo wa kiuadui wa Marekani

    Tuhuma hewa za Pompeo dhidi ya Iran; kuendelezwa mtazamo wa kiuadui wa Marekani

    Aug 06, 2018 09:04

    Baada ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA tarehe 8 Mei mwaka huu, iliamua kushadidisha mashinikizo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Hatami: Kuwaunga mkono magaidi; njama ya maadui kwa ajili ya kuidhoofisha Iran

    Hatami: Kuwaunga mkono magaidi; njama ya maadui kwa ajili ya kuidhoofisha Iran

    Aug 04, 2018 10:45

    Brigedia Jenerali Amir Hatami, Waziri wa Ulinzi wa Iran leo amesema kuwa maadui wameunga mkono ugaidi katika Mashariki ya Kati na kutekeleza njama za kuzusha machafuko katika nchi za eneo hili ikiwemo huko Iraq, Syria na pia kuidhoofisha Iran.

  • Nchi za kati na magharibi mwa Afrika zajadili tishio la ugaidi

    Nchi za kati na magharibi mwa Afrika zajadili tishio la ugaidi

    Jul 31, 2018 11:25

    Nchi 26 za kanda ya kati na magharibi mwa Afrika zimekutana kujadili ugaidi na tishio la usalama katika eneo hilo.

  • Magaidi wa Boko Haram wahujumu msikiti na kuua watu wanane Nigeria

    Magaidi wa Boko Haram wahujumu msikiti na kuua watu wanane Nigeria

    Jul 23, 2018 22:55

    Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram wameshambulia msikiti na kuua watu wanane mashariki mwa Nigeria.

  • Larijani: Adui hawezi kuzungumza na Iran kwa kutumia lugha ya mabavu

    Larijani: Adui hawezi kuzungumza na Iran kwa kutumia lugha ya mabavu

    Jul 23, 2018 00:07

    Spika wa Bunge la Iran amesema kuwa maendeleo ya utengenezaji wa makombora ya Jamhuri ya Kiislamu ni makubwa kiasi kwamba sasa adui hawezi kuzungumza na Iran kwa kutumia lugha ya vitisho na vita.

  • Jeshi la Misri laangamiza magaidi 11 Peninsula ya Sinai

    Jeshi la Misri laangamiza magaidi 11 Peninsula ya Sinai

    Jul 11, 2018 09:03

    Jeshi la Misri limetangaza habari ya kuua wanachama 11 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika eneo la Sinai, kaskazini mwa nchi.

  • UN yapongeza nafasi ya Algeria katika mapambano dhidi ya ugaidi

    UN yapongeza nafasi ya Algeria katika mapambano dhidi ya ugaidi

    Jun 26, 2018 22:19

    Umoja wa Mataifa umeipongeza Algeria kwa nafasi yake katika mapambano dhidi ya ugaidi katika nchi za eneo la Sahel na magharibi mwa Afrika.

  • Ndege za kivita za Marekani zawasaidia makamanda wa Daesh Syria

    Ndege za kivita za Marekani zawasaidia makamanda wa Daesh Syria

    Jun 25, 2018 23:51

    Ndege za kivita za muungano eti wa kimataifa dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh unaoongozwa na Marekani zimewasafarisha makamanda wawili wa kundi la kigaidi la Daesh kutoka eneo a Tuimin hadi katika kituo cha Marekani kilichoko katika mji wa al Shaddadah mkoani Hasakah nchini Syria.

  • Ethiopia kuwasamehe mamia ya watu waliohukumiwa kwa makosa ya ugaidi

    Ethiopia kuwasamehe mamia ya watu waliohukumiwa kwa makosa ya ugaidi

    Jun 15, 2018 23:34

    Serikali ya Ethiopia imesema kuwa itawafutia mashtaka zaidi ya wafungwa 304 wakiwemo 289 wanaotumikia vifungo vya makosa ya ugaidi.

  • Matokeo mabaya ya siasa za Magharibi za kuunga mkono ugaidi na kubeba Ulaya hasara ya Euro bilioni 180

    Matokeo mabaya ya siasa za Magharibi za kuunga mkono ugaidi na kubeba Ulaya hasara ya Euro bilioni 180

    Jun 10, 2018 05:47

    Matokeo machungu ya siasa za Magharibi za kuunga mkono makundi ya kigaidi hususan katika eneo la Mashariki ya Kati, yameanza kuonekana pole pole hivi sasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS