-
Watu 9 wauawa katika hujuma yamsikitini Iraq
Apr 22, 2016 12:56Watu wasiopungua tisa wameuawa na wengine zaidi ya 25 kujeruhiwa baada ya bomu kulipuka ndani ya msikiti mmoja katika eneo la Radwaniyah kusini magharibi mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Larijani: Marekani inatumia ugaidi kama wenzo wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine
Apr 19, 2016 22:20Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, mfumo wa kambi moja wa Marekani umefeli katika kuendesha masuala ya dunia na kwamba sasa ugaidi unatumiwa na Washington kama wenzo wa kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine duniani.
-
Saudia yahusishwa na hujuma za 9/11, Obama aitetea
Apr 19, 2016 22:19Saudi Arabia imehusishwa na hujuma za kigaidi za Septemba 2001 nchini Marekani lakini pamoja na hayo Rais Barack Obama wa nchi hiyo amelaani mswada wa sharia unaotaka watawala wa Saudia wawajibishwe.
-
Utafiti: Wairaqi wengi wanaamini kuwa US inaunga mkono ugaidi, Daesh
Apr 08, 2016 03:52Utafiti mpya wa maoni umeonyesha kuwa thuluthi moja ya wananchi wa Iraq wanaamini kuwa Marekani ndiyo muungaji mkono mkubwa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Urusi yaitaka Uturuki kuacha kuwasaidia magaidi
Apr 04, 2016 23:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameitaka Uturuki kuacha kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na kuunga mkono ugaidi.
-
Israeli imetoa matibabu kwa magaidi 2,100 kutoka Syria
Apr 01, 2016 03:22Utawala wa Kizayuni wa Israel hadi sasa umetoa matibabu kwa magaidi zaidi ya 2,100 wanaopigana ndani ya Syria kuiangusha serikali halali ya nchi hiyo.
-
Waturuki 2 wauawa, Mkenya ajeruhiwa katika shambulizi la kigaidi Mogadishu
Mar 30, 2016 22:37Watu sita wakiwemo Waturuki wawili wameuawa katika shambulizi lililolenga basi dogo lililokuwa limebeba wafanyakazi wa hospitali moja inayosimamiwa na Uturuki katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Mufti wa Syria: Tuliitahadharisha Ulaya kuhusu hatari ya ugaidi
Mar 28, 2016 08:31Mufti Mkuu wa Syria Sheikh Ahmad Badruddin Hassoun amesema nchi hiyo ilikwisha zitahadharisha hapo kabla nchi za Ulaya kuhusu hatari ya kupenya na kuenea ugaidi katika nchi hizo.
-
Ugaidi hauna mustakabali Mashariki ya Kati
Mar 28, 2016 02:39Afisa mwandamizi wa Iran amepongeza ushindi wa hivi karibuni wa jeshi la Syria dhidi ya magaidi wa ISIS (Daesh) katika mji wa Kihistoria wa Palmyra na kusema makundi ya kigaidi hayana mustakabali Mashariki ya Kati.
-
IAEA: Kuna uwezekano magaidi watatumia silaha za nyuklia
Mar 26, 2016 03:47Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umetadharisha juu ya uwezekano wa makundi ya kigaidi kutumia silaha hatari za nyuklia katika harakati zao.