• Assad ataka Waislamu waungane dhidi ya ugaidi

    Assad ataka Waislamu waungane dhidi ya ugaidi

    Mar 21, 2016 11:43

    Rais Bashar al Assad wa Syria amewataka Waislamu wote duniani kuwa kitu kimoja na kuendesha mapambano dhidi ya ugaidi unaotishia eneo na ulimwengu mzima kwa ujumla. Rais Assad ameyatamka hayo katika mkutano wa wanachama wa sekretariati kuu ya Kiarabu na Jukwaa la Kiislamu kwa ajili ya kuunga mkono muqawama uliofanyika mjini Damascus Syria.

  • Nchi za Kiislamu zatakiwa kukabiliana na ugaidi wa kimitandao

    Nchi za Kiislamu zatakiwa kukabiliana na ugaidi wa kimitandao

    Mar 06, 2016 11:59

    Washiriki wa kongamano la kimataifa lililopewa jina la 'Nafasi ya Vyombo vya Habari katika Kupambana na Ugaidi' lililofanyika nchini Misri, wamesisitiza juu ya udharura wa kuwepo ushirikiano wa asasi za nchi za Kiislamu kwa lengo la kukabiliana na ugaidi wa kimtandao.

  • Makumi wauawa katika miripuko ya mabomu Syria

    Makumi wauawa katika miripuko ya mabomu Syria

    Feb 21, 2016 12:43

    Kwa akali watu 30 wamethibitishwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika wimbi la miripuko ya mabomu lililotikisa viunga vya mji mkuu Damascus na Homs nchini Syria.

  • Jela ya wenye misimamo mikali kujengwa Kenya

    Jela ya wenye misimamo mikali kujengwa Kenya

    Feb 17, 2016 11:41

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema njia pekee ya kupunguza kuenea athari mbaya za ugaidi na madudu yake ni kupitia kuundwa jela ya aina yake itakayotumiwa kuwafungia watu wenye misimamo mikali.

  • Usalama kwa mtazamo wa Zarif katika Mkutano wa Munich

    Usalama kwa mtazamo wa Zarif katika Mkutano wa Munich

    Feb 13, 2016 22:28

    Malumbano ya kimadhehebu na misimamo mikali ni tishio kuu kwa eneo na ulimwengu mzima.