-
Uganda yaomba msaada wa kimataifa kukabiliana na wimbi la wakimbizi
Feb 16, 2017 12:26Uganda imeomba kupewa msaada wa kimataifa kwa ajili ya kutatua mgogoro wa wakimbizi wamaomiminika nchini humo.
-
UN: Wakimbizi 52,000 wa Sudan Kusini wameingia Uganda mwezi jana
Feb 09, 2017 03:56Umoja wa Mataifa umesema wakimbizi 52,000 raia wa Sudan Kusini waliingia nchini Uganda mwezi uliopita pekee wa Januari, kutokana na kuendelea kushuhudiwa mauaji na machafuko katika nchi yao.
-
Mamia ya raia wa Sudan Kusini wakimbilia Uganda kila siku
Feb 04, 2017 00:25Mamia ya raia wa Sudan Kusini wanakimbilia nchini Uganda kila siku kukimbia mapigano ya kikabila nchini mwao.
-
SAUTI: Wabunge Uganda: Wizara ya Afya ipewe bajeti kubwa, ili tupate jamii ya Waganda wenye afya watakaofanya kazi masaa mengi zaidi
Jan 23, 2017 15:11Wabunge nchini Uganda wameitaka serikali ya nchi hiyo kuiongezea bajeti zaidi Wizara ya Afya kwani njia hiyo itaiwezesha wizara hiyo kutoa huduma bora kwa wananchi ambao ndio wafanyakazi wa serikali.
-
Waasi wa Uganda washambulia kijiji kaskazini mwa Kongo DR, wateka nyara raia
Jan 21, 2017 01:07Waasi wa Uganda wameshambulia wakazi wa kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuteka nyara wakazi kadhaa wa kijiji hicho.
-
Iran na Uganda zasisitiza juu ya kustawisha zaidi ushirikiano baina yao
Jan 21, 2017 00:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uganda zimesisitiza juu ya kustawisha zaidi uhusiano wao katika nyanja mbalimbali.
-
SAUTI: Vijana wa Kiislamu watakiwa kuoa mapema ili kuepukana na uasherati na kufuata mila chafu
Jan 14, 2017 13:31Jamii ya Waislamu imetakiwa kufuata mienendo Bwana Mtume Muhammad (saw) na kuachana na mila zilizo kinyume na mafundisho ya dini ya Kiislamu.
-
Mfamle Mumbere wa Uganda kizimbani, kujua hatima yake leo
Jan 13, 2017 04:41Mfalme wa Rwenzururu eneo la Rwenzori nchini Uganda, Charles Wesley Mumbere, ambaye anazuiliwa na vyombo vya usalama kwa tuhuma za uhaini anatazamiwa kujua hatima yake leo atakapofikishwa mahakamani.
-
Rais Museveni amteua mwanawe kuwa mshauri mkuu; je anamtayarisha kuja kumrithi?
Jan 11, 2017 03:43Rais Yoweri Museveni wa Uganda amemteua mwanawe Meja Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kuwa mshauri mkuu wa rais katika operesheni maalumu; hatua ambayo inatajwa na baadhi ya wachambuzi wa mambo kwamba, ni ya kumuandaa mwanawe huyo aje kuchukua uongozi wa juu nchini humo.
-
Raia milioni mbili wakimbia Sudan Kusini
Jan 08, 2017 10:22Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa wakimbizi wa Sudan Kusini zaidi ya milioni mbili walikimbilia Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwaka jana kwa ajili ya kutafuta hifadhi.