-
Waziri Mkuu wa Uhispania ataka kulindwa vyanzo vya nishati katika Mashariki ya Kati
Mar 23, 2026 07:09Waziri Mkuu wa Uhispania ametahadharisha kuhusu mgogoro wa nishati wa muda mrefu kwa wanadamu wote kutokana na vita vya uchokozi vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran na kutaka kulindwa vyanzo vyote vya nishati katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Sauti na nara za kupinga vita dhidi ya Iran zasikika kuanzia Uhispania hadi Canada
Mar 23, 2026 06:59Wananchi wa Uhispania wameandamana kulaani vita vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran. Maelfu ya wananchi wa Uhispania wamemiminika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Madrid, kutangaza upinzani wao kwa vita vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Iran.
-
Uhispania: Ilikuwa ni 'makosa' Kamishna wa EU kuhudhuria mkutano wa 'Bodi ya Amani' ya Trump
Feb 21, 2026 07:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania Jose Manuel Albares amesema, ilikuwa ni "makosa" kwa Kamishna wa Umoja wa Ulaya kuhudhuria mkutano wa uzinduzi wa 'Bodi ya Amani' ya Rais wa Marekani Donald Trump mjini Washington.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Lazima serikali iwalinde watoto na 'sumu' ya mitandao ya kijamii
Feb 06, 2026 23:13Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez amesema, nguvu ya serikali ipo kuzilinda demokrasia na "mashambulizi zinayopata" na kuwalinda watoto na vijana na "ulimwengu wenye madhara makubwa, usioadhibiwa" ambavyo ndivyo imekuwa mitandao ya kijamii hivi sasa.
-
Polisi wa Uhispania wawafurusha mamia ya wahamiaji haramu katika mji wa Badalona
Dec 18, 2025 03:52Polisi nchini Uhispania Jumatano waliwafurusha mamia ya wahamiaji haramu waliokuwa wakiishi katika jengo la shule lililotelekezwa katika mji wa Badalona unaopakana na mji wa Barcelona kaskazini-mashariki mwa Uhispania.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Kampeni ya Marekani katika maji ya Karibi ni ukiukaji wa sheria za kimataifa
Dec 14, 2025 22:48Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kwamba kampeni ya Marekani katika maji ya Karibi ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Usitishaji vita hauipi kinga Israel ya kutoadhibiwa kwa mauaji ya kimbari ya Gaza
Oct 14, 2025 23:55Pedro Sanchez Waziri Mkuu wa Uhispania amesisitiza kuwa makubaliano ya kusitisha vita Gaza yaliyofikiwa hivi karibuni kati ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Israel yasifanywe kuwa fidia ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel Ukanda wa Gaza.
-
Bunge la Uhispania laidhinisha marufuku ya kuuuzia silaha utawala wa kizayuni wa Israel
Oct 09, 2025 07:08Bunge la Uhispania limeidhinisha vikwazo vya silaha vilivyopendekezwa na Waziri Mkuu Pedro Sanchez dhidi ya utawala wa kizayunii wa Israel.
-
Uhispania imefuta makubaliano ya silaha ya Euro milioni 700 na Israel kutokana na mauaji ya kimbari
Sep 16, 2025 08:34Uhispania imefuta mkataba wa silaha zenye thamani ya mamilioni ya yuro na Israel kutokana na vita na mauaj ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala huo dhidi ya Gaza.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Nasikitika hatuna bomu la nyuklia tukaizuia Israel isishambulie Ghaza!
Sep 12, 2025 06:58Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez ameendelea kukosoa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina huku akieleza kwa masikitiko kwamba Uhispania haina bomu la nyuklia, manowari ya kubebea ndege za kivita, wala utajiri mkubwa wa mafuta, vitu vitakavyoiwezesha kusimamisha peke yake mashambulizi ya utawala huo dhidi ya Ghaza; lakini hiyo haimaanishi kwamba Madrid itasitisha juhudi zake.