-
Uhispania yamuita nyumbani balozi wake wa Israel
Sep 10, 2025 03:10Vyombo vya habari vya Uingereza vimeripoti kuwa Uhispania imemuita tena balozi wake katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) ikilalamikia sera za mauaji za Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Uhispania yataka Israel ifukuzwe kwenye mashindano ya baiskeli
Sep 06, 2025 07:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania ameunga mkono wito wa kuondolewa timu ya waendesha baiskeli ya Israel kwenye mashindano ya mchezo huo yanayoendelea, kufuatia maandamano na malalamiko ya waungaji mkono wa Palestina nchini humo.
-
Raia 102 wa kigeni magaidi na matapeli wa mitandaoni watimuliwa Nigeria, wengi wao ni Wachina
Aug 22, 2025 06:34Serikali ya Nigeria imewatimua raia wa kigeni 102 wakiwemo Wachina 50 waliopatikana na hatia ya kuhusika na "ugaidi wa mitandaoni na utapeli wa mitandaoni".
-
Kwa nini eneo la kusini mwa dunia limejipanga dhidi ya sera za Trump?
Jul 25, 2025 08:34Nchi nne za Amerika ya Kusini na viongozi wa mrengo wa kushoto nchini Uhispania wameonya juu ya tishio la demokrasia duniani na kutoa mwito wa kuwepo umoja dhidi ya sera za Marekani na ongezeko misimamo ya kuufuurutu ada duniani.
-
Barcelona yavunja uhusiano na Israel kutokana na mauaji ya Gaza
May 31, 2025 06:50Baraza la Jiji la Barcelona limetangaza kuvunja uhusiano wa kitaasisi na utawala wa Israel kutokana na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Kwa nini Uhispania imeongeza mashinikizo dhidi ya Israel?
May 21, 2025 22:48Bunge la Uhispania limepitisha muswada unaoitaka serikali ya nchi hiyo kuacha kuuzia utawala ghasibu wa Israel zana zozote za kijeshi.
-
Kwa nini utawala wa Kizayuni ni utawala wa mauaji ya kizazi?
May 15, 2025 22:46Sisitizo la Israel la kuendeleza vita Gaza katika mwezi wake wa ishirini na kuendelea kuwaua kwa umati wakazi wa ukanda huo hususan wanawake na watoto si tu kwamba kumeibua mijadala ya upinzani na kulaaniwa kimataifa kitendo hicho, bali hata nchi za Ulaya zimekuwa zikiukosoa utawala huo ghasibu kwa hatua zake hizo za kikatili.
-
Kulaani nchi za Ulaya hatua ya Israel ya kuzuia misaada ya kibinadamu Gaza
May 02, 2025 22:46Huku mashambulizi ya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza yakiendelea na hali ya mambo katika eneo hilo kuwa mbaya zaidi, Uhispania, Ubelgiji na Ireland, nchi tatu wanachama wa Umoja wa Ulaya zimekosoa vikali kitendo cha utawala ghasibu wa Israel cha kukiuka usitishaji vita na kuanzisha tena mashambulizi katika Ukanda wa Gaza.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Sitaruhusu mpango wa Trump wa kuwafukuza Wapalestina huko Gaza
Feb 16, 2025 10:23Waziri Mkuu wa Uhispania, Pedro Sánchez, amepinga vikali mpango wa Rais wa Marekani wa kutwaa Ukanda wa Gaza na kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina hadi nchi jirani kama Jordan na Misri, akisisitiza kwamba Madrid haitaruhusu mpango huo kutekelezwa.
-
Kadi nyekundu yatolewa kwa Israel kwenye mechi kati ya Osasuna na Real Madrid
Feb 16, 2025 05:56Mashabiki wa klabu ya Osasuna ya Uhispania wametoa wito wa kukomeshwa uhalifu wa utawala wa Israel huko Palestina katika mechi na mpira wa miguu iliyofanyika jana Jumamosi kati ya timu hiyo dhidi ya Real Madrid.