Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uhispania

  • Makundi ya Muqawama yatoa tamko kuhusu uamuzi wa nchi za Ulaya kuitambua nchi ya Palestina

    Makundi ya Muqawama yatoa tamko kuhusu uamuzi wa nchi za Ulaya kuitambua nchi ya Palestina

    May 24, 2024 06:50

    Makundi ya Muqawama ya Palestina yametoa mjibizo kwa utayarifu uliotangazwa na nchi kadhaa za Ulaya wa kuitambua nchi huru ya Palestina kwa kueleza kwamba hatua hiyo ni mabadiliko makubwa katika msimamo wa nchi mbalimbali duniani katika kuunga mkono piganio tukufu la taifa la Palestina.

  • Sisitizo la Rais wa Chile na Waziri Mkuu wa Uhispania la kutekelezwa usitishaji vita haraka huko Ghaza

    Sisitizo la Rais wa Chile na Waziri Mkuu wa Uhispania la kutekelezwa usitishaji vita haraka huko Ghaza

    Mar 11, 2024 04:17

    Waziri Mkuu wa Uhispania na Rais wa Chile, pamoja na kulaani mashambulizi ya jeshi la Israel huko Ghaza, wametaka kusitishwa mara moja mapigano hayo.

  • Uhispania, Ireland zaitaka EU kutazama upya uhusiano wake na Israel

    Uhispania, Ireland zaitaka EU kutazama upya uhusiano wake na Israel

    Feb 15, 2024 04:11

    Waziri Mkuu wa Uhispania, Pedro Sanchez, amesema kuwa nchi yake na Ireland zimeiomba rasmi Kamisheni ya Ulaya kupitia upya uhusiano wake na Israel haraka iwezekanavyo. Sanchez amesema haya huku utawala wa Kizayuni wa Isarel ukiendeleza mashambulizi dhidi ya eneo la Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.

  • Uhispania kuipatia UNRWA msaada wa dharura wa dola milioni 3.8

    Uhispania kuipatia UNRWA msaada wa dharura wa dola milioni 3.8

    Feb 05, 2024 23:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania alitangaza jana Jumatatu kwamba nchi yake itatuma euro milioni 3.5 sawa na dola za Kimarekani milioni 3.8 kama msaada wa dharura kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Palestina (UNRWA).

  • Maelfu waandamana Madrid kuliunga mkono taifa la Palestina

    Maelfu waandamana Madrid kuliunga mkono taifa la Palestina

    Jan 28, 2024 09:58

    Maelfu ya wananchi wa Uhispania kwa mara nyingine tena wamemiminika katika barabara za mji mkuu wa nchi hiyo, Madrid kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina hasa wa Ukanda wa Gaza, na vilevile kulaani mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala haramu wa Israel katika ukanda huo.

  • Indhari ya Uhispania kuhusu matukio ya eneo na ya kimataifa ya vita vya Gaza

    Indhari ya Uhispania kuhusu matukio ya eneo na ya kimataifa ya vita vya Gaza

    Jan 18, 2024 23:57

    Pedro Sánchez, Waziri Mkuu wa Uhispania ameonya kuwa, usalama na uthabiti wa eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) umekuwa hatarini na kwamba, mashambulizi haya yanahatarisha nidhamu na uratibu wa ushirikiano wa pande kadhaa.

  • Uhispania yapinga kushiriki vikosi maalumu vya wanamaji vya Ulaya katika Muungano wa Baharini wa Marekani

    Uhispania yapinga kushiriki vikosi maalumu vya wanamaji vya Ulaya katika Muungano wa Baharini wa Marekani

    Dec 28, 2023 23:00

    Pedro Sanchez Waziri Mkuu wa Uhispania amepinga uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kuunga mkono Muungano wa Baharini wa Marekani katika Bahari Nyekundu. Sanchyez amesisitiza kuwa: 'Tunapinga kutumiwa vikosi vya baharini vya Ulaya dhidi ya maharamia kwa jina la oparesheni ya "Atalanta" kwa ajili ya kulinda meli za kibiashara katika Bahari Nyekundu mkabala wa mashambulizi ya Yemen.'

  • Kuvunjika muungano wa baharini wa Marekani kwa kujiondoa Ufaransa, Uhispania na Italia

    Kuvunjika muungano wa baharini wa Marekani kwa kujiondoa Ufaransa, Uhispania na Italia

    Dec 25, 2023 02:22

    Marekani imetangaza kuunda Muungano wa Baharini ikiwa ni katika jitihada zake za kuendelea kuutetea kwa hali na mali utawala ghasibu wa Israel katika hujuma yake ya kinyama dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na kukabiliana na mashambulizi ya Yemen katika Bahari Nyekundu dhidi ya meli zinazoelekea katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Israel huko Palestina.

  • Mwakilishi wa Uhispania katika Bunge la Ulaya: Israel imekufa

    Mwakilishi wa Uhispania katika Bunge la Ulaya: Israel imekufa

    Dec 24, 2023 02:25

    Mwakilishi wa Uhispania katika Bunge la Ulaya amesema, "Israel" imekufa, na licha ya kuuawa shahidi maelfu ya watu huko Gaza, Wapalestina wanakaribia zaidi kupata ushindi.

  • Mashirika ya kiraia Uhispania yataka kusitishwa biashara ya silaha na Israel

    Mashirika ya kiraia Uhispania yataka kusitishwa biashara ya silaha na Israel

    Dec 21, 2023 07:53

    Wanaharakati kutoka mamia ya mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini Uhispania wamefanya maandamano na kukusanyika nje ya Bunge la nchi hiyo wakiitaka serikali yao isimamishe bishara ya silaha na utawala haramu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS