-
Mbunge wa EU kutoka Uhispania ataka Netanyahu apandishwe kizimbani katika Mahakama ya ICC
Dec 19, 2023 09:00Mwakilishi wa Uhispania katika Bunge la Ulaya ametaka Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel apandishwe kizimbani katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kutokana na jinai na mashambulio ya kinyama yaliyofanywa na utawala huo dhidi ya Wapalestina.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Israel haiheshimu sheria za kimataifa za ubinadamu
Dec 01, 2023 03:16Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kwamba, kwa kuzingatia idadi ya raia wakiwemo watoto wadogo ambao ni wahanga wa vita vya wiki kadhaa vya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza, ni wazi kuwa Tel Aviv haiheshimu sheria za kimataifa za ubinadamu.
-
Uhispania na Ubelgiji zatangaza kuwa tayari kuitambua rasmi nchi ya Palestina
Nov 25, 2023 08:17Hatua ya Uhispania na Ubelgiji ya kutangaza kuwa tayari kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina ni tukio muhimu kushuhudiwa barani Ulaya kuhusu kadhia ya Palestina. Hatua hii imeukasirisha sana utawala wa Kizayuni.
-
Ubalozi wa Iran Uhispania: Kuendelea kudhalilishwa Qur'ani Tukufu ni jinai ya kiutamaduni
Aug 02, 2023 07:39Ubalozi wa Iran nchini Uhispania umelaani kitendo cha Qur'ani Tukufu kuendelea kuvunjiwa heshima na kukitaja kuwa jinai ya kiutamaduni ambapo pia umekosoa misimamo dhaifu ya Umoja wa Ulaya kuhusiana na suala hilo.
-
Fedheha ya ubaguzi wa rangi katika mchezo wa soka barani Ulaya
May 25, 2023 22:18Ubaguzi wa rangi ni silaha ya tangu na tangu, ambayo siku hizi, na licha ya kauli mbiu zote za kuwepo usawa baina ya watu wote na haki za binadamu kwa wote, ingali inatumiwa katika Ulimwengu wa Magharibi dhidi ya watu weusi na wasio Wazungu. Siku hizi katika nchi za Magharibi, watu wa rangi zingine hasa weusi, hawana hadhi sawa na weupe, licha ya wanavyojituma na michango mingi mno wanayotoa.
-
Meya wa Barcelona avunja uhusiano na Israel, aitetea Palestina
Feb 09, 2023 22:55Jiji la Barcelona la kaskazini mashariki mwa Uhispania limetangaza kusimamisha uhusiano wake na utawala haramu wa Israel.
-
Ukame watishia kuzuka mapigano ya wenyewe kwa wenyewe nchini Uhispania
Aug 13, 2022 21:58Ukame unaendelea kusini mwa nchi ya Ulaya ya Uhispania. Ukame huo umepelekea kukauka maji katika maeneo hayo, njaa na kupungua kipato cha wakazi wake ambao wanategemea sana kilimo na utalii. Ukame huo umezusha wasiwasi pia wa kutokea vita vya ndani baina ya jamii za watu mbalimbali wa nchi hiyo.
-
Uhispania, Brazil zaripoti vifo vya kwanza vya Monkeypox nje ya Afrika
Jul 30, 2022 05:00Vifo vya kwanza vilivyotokana na ugonjwa wa Ndui ya Nyani (Monkeypox) nje ya bara la Afrika vimeripotiwa katika nchi za Uhispania na Brazil, huku maambukizi ya ugonjwa huo yakiongezeka kote duniani hususan barani Ulaya.
-
Joto kali laua watu zaidi ya 2000 Uhispania na Ureno
Jul 22, 2022 08:37Watu zaidi ya 2000 wamepoteza maisha huko Ushipania na Ureno katika wiki za karibuni kufuatia joto kali lililovunja rekodi likiambatana na moto mkubwa wa misituni ambao umelazimisha maelfu ya watu kuzihama nyumba zao.
-
Joto kali limeua watu 500 nchini Uhispania
Jul 20, 2022 23:49Waziri mkuu wa Uhispania amesema zaidi ya watu 500 wamepoteza maisha nchini humo wakati wa wimbi la joto la siku 10 huku bara lote la Ulaya likiendelea kupata hasara kubwa kutokana na joto kali ambalo limevunja rekodi mwaka huu.