Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uhispania

  • Waziri Mkuu Uhispania: Morocco inapaswa kulaumiwa kwa maafa ya wahajiri wa Kiafrika, Melilla

    Waziri Mkuu Uhispania: Morocco inapaswa kulaumiwa kwa maafa ya wahajiri wa Kiafrika, Melilla

    Jul 04, 2022 09:39

    Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kwamba mkasa wa wahajiri wa Kiafrika katika eneo la Melilla unapaswa kuchunguzwa nchini Morocco na kwamba ni serikali ya Rabat ambayo inapaswa kuwajibika katika suala hili.

  • AU yataka uchunguzi wa mauaji ya makumi ya watu mpakani mwa Morocco, Uhispania

    AU yataka uchunguzi wa mauaji ya makumi ya watu mpakani mwa Morocco, Uhispania

    Jun 27, 2022 06:57

    Mwenyekiti wa Kamisheni ya Afrika ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa mauaji ya makumi ya wahajiri wa Kiafrika katika mpaka wa Morocco na Uhispania.

  • Morocco: Wahajiri 18 wameaga dunia wakijaribu kuingia eneo la Melilla la Uhispania

    Morocco: Wahajiri 18 wameaga dunia wakijaribu kuingia eneo la Melilla la Uhispania

    Jun 25, 2022 07:17

    Serikali ya Morocco imesema wahajiri 18 wamepoteza maisha, huku makumi ya wengine pamoja na askari polisi wakijeruhiwa katika mkanyagano wa kujaribu kuingia katika maeneo ya Melilla na Ceuta yanayodhibitiwa na Uhispania.

  • Algeria yasimamisha uhusiano wa kitalii na Uhispania, mvutano washtadi

    Algeria yasimamisha uhusiano wa kitalii na Uhispania, mvutano washtadi

    Jun 21, 2022 03:21

    Serikali ya Algeria imetangaza kusimamisha uhusiano wa kitalii wa nchi hiyo na Uhispania, huku mzozo baina mataifa hayo mawili juu ya mgogoro wa Sahara Magharibi ukiongezeka.

  • Algeria yasimamisha ushirikiano na Uhispania kwa sababu ya kadhia ya Sahara Magharibi

    Algeria yasimamisha ushirikiano na Uhispania kwa sababu ya kadhia ya Sahara Magharibi

    Jun 09, 2022 07:55

    Algeria imechukua hatua "mara moja" kusimamisha mkataba wa Urafiki baina yake na Uhispania baada ya Madrid kubadilisha msimamo wa miongo kadhaa wa kutoegemea upande wowote katika mgogoro wa Sahara Magharibi.

  • Algeria yamwita balozi wake wa Madrid, baada ya Uhispania kubadili msimamo kuhusu Sahara Magharibi

    Algeria yamwita balozi wake wa Madrid, baada ya Uhispania kubadili msimamo kuhusu Sahara Magharibi

    Mar 20, 2022 04:25

    Algeria imemwita nyumbani balozi wake wa Uhispania kwa ajili ya mashauriano, kutokana na matamshi ya hivi karibuni ya Madrid kuhusu mgogoro wa Sahara Magharibi.

  • Chuki dhidi ya Uislamu: Msikiti mwingine wavunjiwa heshima nchini Uhispania

    Chuki dhidi ya Uislamu: Msikiti mwingine wavunjiwa heshima nchini Uhispania

    Jul 08, 2021 03:48

    Msikiti mmoja umevunjiwa heshima nchini Uhispania ikiwa ni muendelezo wa chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya.

  • Bunge la Kiarabu laiunga mkono Morocco katika hitilafu zake na Uhispania

    Bunge la Kiarabu laiunga mkono Morocco katika hitilafu zake na Uhispania

    Jun 27, 2021 22:02

    Bunge za Nchi za Kiarabu limetangaza katika taarifa yake kuwa linaiunga mkono Morocco kuhusu hitilafu zilizojitokeza kati ya nchi hiyo na Uhispania.

  • Maiti 17 za wahajiri wa Kiafrika zapatikana katika kisiwa cha Uhispania

    Maiti 17 za wahajiri wa Kiafrika zapatikana katika kisiwa cha Uhispania

    Apr 27, 2021 08:28

    Miili 17 ya wahajiri wa Kiafrika imepatikana katika mji wa pwani wa El Hierro, ulioko katika moja ya visiwa vya Canary vya Uhispania.

  • Baada ya kuchanjwa Pfizer, wazee 78 Uhispania waambukizwa corona, kadhaa kati yao wafariki dunia

    Baada ya kuchanjwa Pfizer, wazee 78 Uhispania waambukizwa corona, kadhaa kati yao wafariki dunia

    Feb 02, 2021 04:34

    Wakazi wote wa nyumba moja ya matunzo kwa wazee nchini Uhispania wameambukizwa virusi vya corona baada ya kupigwa chanjo ya Pfizer na kadhaa miongoni mwao wamefariki dunia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS