-
Rais Kenyatta asaini sheria kali kwa wahalifu mitandaoni
May 16, 2018 13:59Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameidhinisha Sheria za Uhalifu wa Kompyuta na Mtandaoni wa 2018 ambazo zinatoa adhabu kali sana kwa watakaopatikana na makosa ya mtandaoni ikiwa ni pamoja na kueneza habari bandia au feki.
-
ICC yatangaza majaji wapya kushughulikia kesi za Kenya zilizoporomoka
Mar 17, 2018 15:59Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imechagua majaji wapya kushughulikia mafaili ya kesi zilizoporomoka za Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na naibu wake, Bw William Ruto kuhusu ghasia za baada ya uchaguzi wa 2007.
-
Polisi Kenya yamkamata mbunge wa tatu aliyeshiriki hafla ya kujiapisha Odinga
Feb 03, 2018 15:46Polisi ya Kenya imemtia nguvuni kwa muda na kumsaili mbunge wa tatu wa kambi ya upinzani nchini humo kwa tuhuma ya kushiriki katika hafla ya kuapishwa kinara wa kambi ya upinzani Raila Odinga kuwa "kiongozi wa wananchi" badala ya Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo aliyeshinda uchaguzi wa Oktoba mwaka jana.
-
Wasiwasi watanda Kenya huku Odinga akijiandaa kuapishwa kama 'rais'
Jan 30, 2018 08:08Wasiwasi umetanda nchini Kenya hii leo katika siku ambayo Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya, NASA Raila Odinga ametangaza kuwa ataapishwa kama 'rais' hatua ambayo serikali imesema ni uhaini na hukumu yake ni kunyongwa.
-
UNICEF yamteua Rais Kenyatta wa Kenya kuwa mtetezi wa uwezeshaji vijana duniani
Jan 20, 2018 07:20Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amekubali ombi la Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto UNICEF, la kumteua kuwa mtetezi wa uwezeshaji vijana duniani.
-
Watu 36 wafariki dunia katika ajali ya barabarani nchini Kenya
Dec 31, 2017 07:45Watu wasiopungua 36 wamefariki dunia kufuatia ajali mbaya ya barabarani baina ya lori na basi magharibi mwa Kenya katika barabara ya Nakuru-Eldoret.
-
Mwanasheria Mkuu wa Kenya amuonya Odinga dhidi ya kujiapisha
Dec 07, 2017 15:00Mwanasheria Mkuu wa Kenya ametahadharisha kuhusu mpango wowote wa kumuapisha kinara wa upinzani nchini humo Raila Odinga kama 'rais wa watu' wiki ijayo.
-
Odinga 'kujiapisha' Disemba 12, kupinga ushindi wa Kenyatta UN
Nov 29, 2017 08:22Kinara wa muungano wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amesema ataapishwa kuwa rais 'halali' wa Kenya Disemba 12, wakati nchi hiyo itakuwa inaadhimisha Siku ya Jamhuri.
-
Uhuru Kenyatta aapishwa kama rais wa Kenya
Nov 28, 2017 16:38Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameapishwa kuiongoza nchi hiyo kwa muhula wa pili wa miaka mitano mjini Nairobi leo katika sherehe iliyohudhuriwa na maelfu ya wafuasi wake na viongozi kadhaa wa nchi za Afrika.
-
Uhuru kuapishwa leo, kambi ya upinzani yasusia, yaitisha mkutano Jacaranda
Nov 28, 2017 03:35Mivutano ya kisiasa inaonekana kupamba moto zaidi leo nchini Kenya huku vyombo vya usalama vikilinda maeneo muhimu ya jiji la Nairobi kabla ya kuapishwa Rais Uhuru Kenyatta hii leo kwa ajili ya kipindi cha awamu ya pili.