-
Uhuru Kenyatta atangazwa rasmi mshindi wa uchaguzi wa rais wa Kenya
Aug 12, 2017 03:29Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya IEBC imemtangaza rasmi Rais Uhuru Kenyatta mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika siku ya Jumanne ya tarehe 8 Agosti.
-
Upinzani Kenya waitaka IEBC imtangaze Raila Odinga mshindi wa uchaguzi wa urais
Aug 10, 2017 15:17Mrengo wa upinzani wa NASA nchini Kenya umeitaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC imtangaze mgombea wa muungano huo Raila Odinga kuwa, mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika nchini humo siku ya Jumanne.
-
Uhuru Kenyatta aongoza katika uchaguzi wa rais Kenya, upinzani wapinga matokeo
Aug 09, 2017 03:28Kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amepinga matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais uliofanyika jana Jumanne, yanayoonyesha kuwa Rais wa sasa Uhuru Kenyatta anaongoza.
-
Rais Kenyatta asema kisiwa cha Migingo ni milki ya Kenya, Uganda bado inadai inakimiliki
Jul 12, 2017 14:58Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema kisiwa cha Migingo katika Ziwa Viktoria ni milki ya Kenya.
-
Jaji Mkuu Kenya amuonya Rais Uhuru, usivunje imani ya wananchi
Jul 10, 2017 08:13Jaji Mkuu wa Kenya amemuonya Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo akimtaka kuacha kuvunja imani ya wananchi kwa mahakama za nchi hiyo.
-
Rais wa Kenya awakabidhi Waislamu wa jamii ya Nubi hati miliki ya ardhi Nairobi
Jun 02, 2017 14:28Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo amewakabidhi Waislamu wa jamii ya Wanubi hati miliki ya ardhi yao ya jadi yenye ukubwa wa ekari 288 katika eneo la Kibra mjini Nairobi.
-
Rais Kenyatta aagiza uchunguzi baada ya ajali kuua watu 20 Kenya
May 13, 2017 13:53Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameagiza uchunguzi kufanyika baada ya watu 20 kupoteza maisha Jumamosi asubuhi kufuatia ajali mbaya ya barabarani katika barabara ya Nairobi-Nakuru.
-
Viongozi wa kidini Kenya wamtaka Uhuru asiidhinishe marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi
Dec 23, 2016 16:25Viongozi wa kidini nchini Kenya wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo asisaini muswada wa marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi ambao uliidhinishwa na Bunge la Kitaifa hapo jana.
-
Kenyatta: Kenya inatathmini kwa kina mpango wa kujiondoa ICC
Dec 13, 2016 07:40Kwa mara nyingine tena Kenya imeweka bayana azma ya kuangalia upya uhusiano wake na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Uhuru: Kenya haijutii kuwaondoa wanajeshi wake Sudan Kusini
Nov 03, 2016 16:27Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema taifa hilo halijuti kwa uamuzi wake wa kuwaondoa wanajeshi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki walioko Sudan Kusini chini ya mwavuli wa kikosi maalumu cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa (UNMISS).