-
Radiamali hasi ya Madola ya Magharibi ya kunyongwa jasusi wa Uingereza nchini Iran
Jan 15, 2023 08:13Kunyongwa Ali Reza Akbari, jasusi wa shirika la kijasusi la Uingereza la MI6 kumekabiliwa na matamshi ya pupa na radiamali tofauti na hasi za madola ya Magharibi. Radiamali hizo zinaonyesha kupata pigo kubwa mipango ya kijasusi ya Magharibi dhidi ya Iran.
-
UK yamuita nyumbani balozi wake baada ya Iran kumnyonga jasusi wa MI6
Jan 15, 2023 03:39Katika hatua nyingine ya uingiliaji kati wa mambo, London imemuita nyumbani balozi wa Uingereza mjini Tehran eti kwa ajili ya mashauriano, kufuatia hatua ya Idara ya Mahakama ya Iran kumnyonga Ali Reza Akbari, aliyekuwa jasusi wa shirika la kijasusi la Uingereza la MI6.
-
Fedheha! Uingereza yashindwa kutuma satalaiti yake anga za mbali
Jan 10, 2023 04:00Jaribio la Uingereza la kuwa nchi ya kwanza ya Ulaya kurusha satalaiti katika anga za mbali limegonga mwamba, huku kampuni ya Virgin Orbit ikitangaza kuwa roketi lake la kurushia satalaiti hiyo lilikubwa na hitilafu na kuifanya (satalaiti hiyo) ishindwe kufika katika anga za mbali.
-
Wataalamu: Ukoloni wa Uingereza ulisababisha vifo vya mamilioni ya watu nchini India
Dec 28, 2022 00:51Ukoloni wa Uingereza ulikuwa sababu ya vifo vya zaidi ya watu milioni mia moja nchini India.
-
Wauguzi UK wagoma wakitaka nyongeza ya mshahara
Dec 15, 2022 22:56Wauguzi wapatao laki moja kote nchini Uingereza wameanza mgomo kushinikiza malipo bora na mazingira mazuri ya kazi.
-
Waingereza wafakamia chakula cha mifugo kutokana na kupanda gharama za maisha
Dec 02, 2022 22:50Mgogoro wa gharama kubwa za maisha nchini Uingereza umekuwa sababu ya Waingereza katika baadhi ya miji kula chakula cha wanyama wa kufuga majumbani.
-
Uingereza yasisitiza haitauhamishia ubalozi wake Quds
Nov 22, 2022 04:06Kwa mara nyingine, Uingereza kutokana na mashinikizio na ukosoaji wa ndani na nje ya nchi, imesisitiza kuwa haina mpango wa kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds tukufu, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Tehran yalaani vikwazo vipya vya EU dhidi ya Iran
Nov 15, 2022 03:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikwazo vipya vilivyotangazwa na Umoja wa Ulaya dhidi ya shakhsia 29 na taasisi tatu za Kiirani, ikiwemo kanali ya televisheni ya Press TV.
-
Uingereza yaazimia kuwaondoa askari wake nchini Mali
Nov 15, 2022 03:43Uingereza imetangaza habari ya kutaka kuwaondoa mamia ya askari wa nchi hiyo walioko nchini Mali chini ya Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa MINUSMA.
-
Taasisi na shakhsia kadhaa wa EU wataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Iran
Oct 25, 2022 10:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amedokeza kuwa karibuni hivi majina ya taasisi na shakhsia kadhaa wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya yataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.