Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uingereza

  • Tahadhari ya China kuhusu uingiliaji wa nchi za Magharibi katika masuala ya ndani ya nchi nyingine

    Tahadhari ya China kuhusu uingiliaji wa nchi za Magharibi katika masuala ya ndani ya nchi nyingine

    Jul 07, 2023 23:07

    Rais wa China, Xi Jinping, ametoa wito kwa nchi mbalimbali kusimama dhidi ya "mapinduzi ya rangi ya nchi za Magharibi". Jinping ametoa wito huo katika mkutano Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai, uliofanyika kwa njia ya mtandao.

  • Afisa wa Yemen: Tulikomesha wizi wa mafuta uliofanywa na Marekani, Uingereza na Ufaransa

    Afisa wa Yemen: Tulikomesha wizi wa mafuta uliofanywa na Marekani, Uingereza na Ufaransa

    Jun 28, 2023 09:45

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Kitaifa ya Wokovu wa Yemen amejibu kauli iliyotolewa na mabalozi wa Ufaransa, Uingereza na Marekani akisisitiza kuwa, kinyume na madai yaliyotolewa katika taarifa yao, Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen haikuzuia mauzo ya mafuta nje ya nchi, lakini ilizuia wizi wa bidhaa hiyo.

  • Kanisa la Anglikana 'lasikitishwa' na sheria dhidi ya ushoga Uganda

    Kanisa la Anglikana 'lasikitishwa' na sheria dhidi ya ushoga Uganda

    Jun 10, 2023 07:03

    Kiongozi wa Kanisa la Kianglikana Duniani amedai kuwa amesikitishwa na hatua ya Uganda ya kupasisha sheria kali ya kupambana na ubaradhuli na mahusiano ya watu jinsia moja.

  • Wabunge wa Kenya: Wanajeshi watenda jinai wa Uingereza wahukumiwe nchini

    Wabunge wa Kenya: Wanajeshi watenda jinai wa Uingereza wahukumiwe nchini

    Apr 12, 2023 23:59

    Wanajeshi wa Jeshi la Uingereza wanaotoa mafunzo nchini Kenya wanaofanya mauaji nchini humo huenda wakakabiliwa na mashtaka katika mahakama za Kenya iwapo mapendekezo yaliyopendekezwa bungeni na Kamati ya Ulinzi na Mahusiano ya Kigeni yatapitishwa.

  • Maandamano ya kutaka kufungwa kampuni za silaha za Israel yafanyika UK

    Maandamano ya kutaka kufungwa kampuni za silaha za Israel yafanyika UK

    Apr 02, 2023 07:46

    Wanaharakati wa kutetea haki za wananchi madhulumu wa Palestina wamefanya maandamano katika miji kadhaa ya Uingereza, kushinikiza kufungwa kwa mashirika ya kuzalisha silaha ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika nchi hiyo ya Ulaya.

  • Ughali wa maisha Uingereza: Wafanyakazi wa usalama wa Heathrow wagoma

    Ughali wa maisha Uingereza: Wafanyakazi wa usalama wa Heathrow wagoma

    Apr 01, 2023 22:59

    Wafanyikazi wa usalama wa Uwanja wa Ndege wa Heathrow mjini London nchini Uingereza wameanzisha mgomo wa siku 10, wakiungana na wafanyakazi wengine wa serikali na wafanyikazi wa sekta kadhaa nchini humo ambao wamegoma wakitaka nyongeza kubwa ya mishahara kutokana na mfumuko wa bei unaozidi kuongezeka.

  • Netanyahu akaribishwa UK kwa maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina

    Netanyahu akaribishwa UK kwa maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina

    Mar 25, 2023 04:36

    Mamia ya waungaji mkono wa Palestina na wapinzani wa utawala haramu wa Israel wamefanya maandamano mjini London, kulaani safari ya Waziri Mkuu wa utawala huo wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu nchini Uingereza.

  • Marubani wa Israel wakataa kumpeleka Netanyahu Uingereza

    Marubani wa Israel wakataa kumpeleka Netanyahu Uingereza

    Mar 24, 2023 03:35

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amelazimika kuakhirisha safari yake ya kuitembelea Uingereza, baada ya marubani kadhaa wa utawala huo kukataa kumsafirisha kwa ndege katika nchi hiyo ya Ulaya mtawala huyo mwenye misimamo mikali.

  • Botswana yatishia kukata uhusiano na kampuni ya almasi ya Uingereza

    Botswana yatishia kukata uhusiano na kampuni ya almasi ya Uingereza

    Feb 13, 2023 06:47

    Rais Mokgweetsi Masisi wa Botswana ameonya kuwa, huenda nchi yake ikavunja uhusiano na shirika kubwa la kimataifa la almasi la De Beers, lenye makao yake huko London, Uingereza, kwa kupunjwa.

  • Sana'a: Uingereza sababu kuu ya uvamizi Yemen

    Sana'a: Uingereza sababu kuu ya uvamizi Yemen

    Jan 22, 2023 07:48

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen ameeleza kuwa, Uingereza si tu haiwezi kusaidia kupunguza mateso na masaibu ya kiuchumi ya wananchi wa Yemen bali nchi hiyo ni sehemu kuu ya njama ya kuvamiwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS