Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uislamu

  • Waislamu wa Canada watoa wito kwa serikali kupambana na chuki dhidi ya Uislamu

    Waislamu wa Canada watoa wito kwa serikali kupambana na chuki dhidi ya Uislamu

    Jun 06, 2026 11:36

    Waislamu wa Canada wameitaka serikali kupambana na chuki dhidi ya Uislamu nchini humo kupitia mageuzi ya kina na hatua madhubuti.

  • Umoja wa Wanazuoni Waislamu: Kuanzisha uhusiano na Israel kuna madhara kwa nchi za Kiislamu

    Umoja wa Wanazuoni Waislamu: Kuanzisha uhusiano na Israel kuna madhara kwa nchi za Kiislamu

    May 31, 2026 12:52

    Umoja wa Wasomi wa Kiislamu Duniani umetangaza upinzani wake kamili kwa tishio lolote linaloelekezwa kwa nchi za Kiislamu au mataifa yao kutoka upande wowote ule, na kuonya kuhusu matokeo mabaya ya kunzisha uhusiano na utawala wa Tel Aviv.

  • Mahujaji wanasimama Arafa leo kutekeleza nguzo muhimu ya Hija

    Mahujaji wanasimama Arafa leo kutekeleza nguzo muhimu ya Hija

    May 26, 2026 03:17

    Mamilioni ya Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu, Al Kaaba, leo wanasimama katika uwanja wa Arafa katika kilele cha ibada tukufu ya Hija.

  • Hukumu za Ibada ya Hija- Ihram

    Hukumu za Ibada ya Hija- Ihram

    May 23, 2026 08:06

    Baada ya miaka mingi na kuwa mbali na Makka, Mtume Muhammad (saw) na Masahaba wake walielekea katika eneo hilo kwa ajili ya kufanya ibada ya Umra katika mwaka wa 6 wa Hijria. Wote walivaa Ihram mahali paitwapo Dhul-Hulaifah (Msikiti Shajara), ambapo palikuwa umbali wa kilomita 450 kutoka Makka.

  • Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Uko Imara Zaidi ya Ulivyokuwa Huko Nyuma

    Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Uko Imara Zaidi ya Ulivyokuwa Huko Nyuma

    May 13, 2026 13:11

    Waziri Mkuu wa zamani wa Qatar ameeleza katika mahojiano marefu aliyofanyiwa na televisheni ya Al Jazeera kwamba, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran uko mara zaidi hivi sasa kuliko ulivyokuwa huko nyuma.

  • Mufti Mkuu wa Russia: Umma wa Kiislamu unapaswa kusimama pamoja na Iran dhidi ya njama za shetani

    Mufti Mkuu wa Russia: Umma wa Kiislamu unapaswa kusimama pamoja na Iran dhidi ya njama za shetani

    May 02, 2026 07:35

    Mufti Mkuu na Mkuu wa Idara ya Masuala ya Kidini ya Waislamu wa Russia ameeleza kuwa, Umma wa Kiislamu unapaswa kusimama pamoja na Iran dhidi ya njama za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel na akasema: "Iwapo Waislamu watakuwa na umoja na mshikamano, kambi ya shetani haiwezi kamwe kurudia uchokozi dhidi ya Gaza, Syria, Iran na Lebanon."

  • Iran, ulimwengu wa Kiislamu waadhimisha kumbukizi ya kuzaliwa Imam Ali AS

    Iran, ulimwengu wa Kiislamu waadhimisha kumbukizi ya kuzaliwa Imam Ali AS

    Jan 03, 2026 02:34

    Wananchi Waislamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamejiunga na wenzao kote duniani kuadhimisha siku ya kukumbuka kuzaliwa Amirul Muumin Ali (AS) Imam wa Kwanza wa Waislamu wa Kishia ulimwenguni.

  • Mwanaharakati Muaustralia aliyesilimu kutokana na Palestina: Nashangaa watu wote si Waislamu

    Mwanaharakati Muaustralia aliyesilimu kutokana na Palestina: Nashangaa watu wote si Waislamu

    Dec 24, 2025 02:48

    Robert Martin, mwandishi na mwanaharakati Muaustralia mtetezi na muungaji mkono wa Palestina, ambaye amesilimu hivi karibuni amesema, uungaji mkono wake kwa Palestina na safari yake ya kiimani kuelekea kwenye dini tukufu ya Uislamu vimechochewa na miaka kadhaa ya uanaharakati na tajiriba aliyopata katika safari za misafara ya meli za Uhuru, ambazo zimejaribu kuvunja kizuizi kilichowekwa na Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza.

  • 'Futa kauli au jiuzulu': CAIR yamkemea Mkuu wa Intelijensia kwa kudai Uislamu ndiyo tishio kuu kwa US

    'Futa kauli au jiuzulu': CAIR yamkemea Mkuu wa Intelijensia kwa kudai Uislamu ndiyo tishio kuu kwa US

    Dec 24, 2025 02:47

    Jumuiya kubwa zaidi ya kutetea haki za kiraia ya Waislamu nchini Marekani ya Baraza la Mahusiano ya Kiislamu ya Marekani (Cair) (The Council on American Islamic Relations) imemtaka mkurugenzi wa intelijensia ya taifa ya nchi hiyo Tulsi Gabbard ajiuzulu au afute kauli yake ya kudai kwamba tishio kubwa kwa nchi hiyo ni "Sharia za Kiislamu" na ambazo amesema "zinatishia ustaarabu wa magharibi".

  • Baraza la Waislamu Ufaransa latoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu ujasusi dhidi ya Waislamu kwa niaba ya Israel

    Baraza la Waislamu Ufaransa latoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu ujasusi dhidi ya Waislamu kwa niaba ya Israel

    Nov 28, 2025 23:54

    Baraza la Waislamu la Ufaransa limetoa wito kwa serikali kuanzisha uchunguzi kuhusu madai kwamba watu wawili walikusanya taarifa kuhusu Waislamu nchini Ufaransa na kuzikabidhi kwa shirika la ujasusi la Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS