-
Afrika Kusini yaomba radhi kwa matamshi ya 'kufuru' ya polisi katika uvamizi wa msikiti
Apr 27, 2020 11:50Waziri wa Polisi wa Afrika Kusini, Bheki Cele ameomba radhi kwa maneno ya "kufuru" yaliyotolewa na polisi kwa Waislamu waliokuwa wakitekeleza ibada ya Swala wakati polisi hao alipovamia msikiti wakitekeleza marufuku ya shughuli zote katika kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya corona.
-
Mahakama ya Rufaa ya Uingereza 'yaharamisha' ndoa za Kiislamu
Feb 16, 2020 08:13Mahakama ya Rufaa ya Uingereza imebatilisha uamuzi wa miaka miwili iliyopita wa kutambua ndoa iliyofanyika kwa mujibu wa sheria za Kiislamu (Nikah).
-
Wanaharakati wa Ujerumani wamkumbuka "Shahidi wa Hijabu" Marwa el Sherbini
Jul 07, 2019 03:02Wanaharakati wa Ujerumani leo Jumapili wanahitimisha warsha zilizoanza Jumatatu iliyopita za kukumbuka mauaji ya mwanamke Mwislamu, Marwa el-Sherbini aliyeuawa kwa kudungwa kisu mara kadhaa ndani ya ukumbi wa mahakama ya mji wa Dresden nchini Ujerumani.
-
Larijani: Wairani wataifanya Marekani ijute
Apr 28, 2019 14:14Spika wa Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, amesema Wairani kwa kusimama kwao kidete watapelekea watawala wa Marekani wajute.
-
Uchunguzi: Akthari ya vijana wa Ujerumani wanaunga mkono ujenzi wa misikiti nchini humo
Mar 05, 2019 02:44Matokeo ya uchunguzi mpya yanaonyesha kwamba akthari ya vijana wa Ujerumani wanaunga mkono kujengwa misikiti nchini humo.
-
Sadio Mane ajibu, kwa nini anaosha choo cha msikiti, Liverpool
Sep 10, 2018 14:43Mchezaji nyota wa soka wa timu ya Liverpool ya Uingereza kutoka Senegal, Sadio Mane ameeleza ni kwa nini huwa anaosha choo cha Msikiti wa Rahma mjini Liverpool.
-
Maktaba ya Imam Khomeini (MA) na sauti-3
Sep 09, 2018 14:18Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tatu ya kipindi hiki kipya cha Katika Maktaba ya Imam Khomein (MA) ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Mwanasiasa wa Uholanzi mwenye chuki na Uislamu aghairisha mpango wa kutaka kumvunjia heshima Mtume SAW
Sep 01, 2018 04:09Mwanasiasa wa Uholanzi mwenye chuki na Uislamu aliyekuwa na dhamira ya kufanya mashindano ya katuni za kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW amelazimika kughairisha mashindano hayo baada ya kukabiliwa na upinzani mkali wa Waislamu.
-
Ushindi wa Palestina; utukufu wa ulimwengu wa Kiislamu
Jun 04, 2018 08:22Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistatijia cha Taasisi ya Kimataifa ya Mweamko wa Kiislamu amesema kwamba ushindi wa taifa la Palestina dhidi ya utawala haramu wa Isreal unauletea utukufu ulimwengu wa Kiislamu.
-
Ukosoaji wa UN kwa serikali ya Ufaransa kwa kuamiliana vibaya na Waislamu wa nchi hiyo
May 29, 2018 08:17Umoja wa Mataifa umeikosoa serikali ya Ufaransa kwa namna inavyoamiliana na Waislamu na inavyokabiliana na ugaidi na athari za hatua zake hizo ambazo zinatia wasiwasi kwa kutishia uhuru wa mtu binafsi.