-
Mwanasiasa wa Uholanzi mwenye chuki na Uislamu aghairisha mpango wa kutaka kumvunjia heshima Mtume SAW
Sep 01, 2018 04:09Mwanasiasa wa Uholanzi mwenye chuki na Uislamu aliyekuwa na dhamira ya kufanya mashindano ya katuni za kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW amelazimika kughairisha mashindano hayo baada ya kukabiliwa na upinzani mkali wa Waislamu.
-
Ushindi wa Palestina; utukufu wa ulimwengu wa Kiislamu
Jun 04, 2018 08:22Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistatijia cha Taasisi ya Kimataifa ya Mweamko wa Kiislamu amesema kwamba ushindi wa taifa la Palestina dhidi ya utawala haramu wa Isreal unauletea utukufu ulimwengu wa Kiislamu.
-
Ukosoaji wa UN kwa serikali ya Ufaransa kwa kuamiliana vibaya na Waislamu wa nchi hiyo
May 29, 2018 08:17Umoja wa Mataifa umeikosoa serikali ya Ufaransa kwa namna inavyoamiliana na Waislamu na inavyokabiliana na ugaidi na athari za hatua zake hizo ambazo zinatia wasiwasi kwa kutishia uhuru wa mtu binafsi.
-
Waziri Mkuu wa jimbo la North Rhine-Westphalia ataka kutambuliwa Uislamu kuwa dini rasmi nchini Ujerumani
May 21, 2018 08:04Waziri Mkuu wa jimbo la North Rhine-Westphalia (nord rayen westfaliya) la magharibi mwa Ujerumani ametaka dini ya Kiislamu kutambuliwa rasmi nchini humo
-
Msomi wa Algeria: Uwahabi ndicho chanzo cha uharibifu wa fikra katika nchi za Kiislamu
Apr 24, 2018 07:54Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu nchini Algeria amesema kuwa, makundi ya Kisalafi ndicho chanzo cha uharibifu wa kifikra katika nchi za Kiislamu ikiwemo Algeria.
-
Pew Research Center: Uislamu ndiyo dini kubwa zaidi inayokuwa kwa kasi duniani
Mar 15, 2018 14:59Uchunguzi uliofanywa na kituo cha utafiti cha Pew Research Center cha Marekani unaonyesha kuwa, Uislamu ndiyo dini kubwa inayokuwa na kuongezeka kwa kasi duniani ikilinganishwa na dini nyingine.
-
Mwanaharakati Pakistan: Dini ya Uislamu haihusiki hata kidogo katika kumwaga damu
Mar 15, 2018 14:33Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kisiasa na Kidini nchini Pakistan, amesema kuwa Uislamu wa kweli hauhusiki kwa namna yoyote na umwagaji damu unaofanywa na makundi ya kigaidi.
-
Araqchi: Quds ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa Kiislamu
Jan 31, 2018 15:32Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Ni yakini kwamba Quds tukufu ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa Kiislamu na utarejea mikononi mwa Umma wa Kiislamu.
-
Uislamu kuwa dini ya pili kwa ukubwa nchini Marekani 2040
Jan 07, 2018 07:53Uchunguzi uliofanywa na kituo cha utafiti cha Pew nchini Marekani umeonesha kuwa, idadi ya Waislamu nchini humo itakuwa ya pili kwa ukubwa, baada ya Ukristo kufikia mwaka 2040.
-
Erdogan ataka Waislamu walio wachache Ugiriki waheshimwe
Dec 09, 2017 07:33Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ametoa mwito wa kuheshimwa haki za jamii ya Waislamu walio wachache nchini Ugiriki.