Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uislamu

  • Msomi wa Algeria: Uwahabi ndicho chanzo cha uharibifu wa fikra katika nchi za Kiislamu

    Msomi wa Algeria: Uwahabi ndicho chanzo cha uharibifu wa fikra katika nchi za Kiislamu

    Apr 24, 2018 03:24

    Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu nchini Algeria amesema kuwa, makundi ya Kisalafi ndicho chanzo cha uharibifu wa kifikra katika nchi za Kiislamu ikiwemo Algeria.

  • Pew Research Center: Uislamu ndiyo dini kubwa zaidi inayokuwa kwa kasi duniani

    Pew Research Center: Uislamu ndiyo dini kubwa zaidi inayokuwa kwa kasi duniani

    Mar 15, 2018 11:29

    Uchunguzi uliofanywa na kituo cha utafiti cha Pew Research Center cha Marekani unaonyesha kuwa, Uislamu ndiyo dini kubwa inayokuwa na kuongezeka kwa kasi duniani ikilinganishwa na dini nyingine.

  • Mwanaharakati Pakistan: Dini ya Uislamu haihusiki hata kidogo katika kumwaga damu

    Mwanaharakati Pakistan: Dini ya Uislamu haihusiki hata kidogo katika kumwaga damu

    Mar 15, 2018 11:03

    Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kisiasa na Kidini nchini Pakistan, amesema kuwa Uislamu wa kweli hauhusiki kwa namna yoyote na umwagaji damu unaofanywa na makundi ya kigaidi.

  • Araqchi: Quds ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa Kiislamu

    Araqchi: Quds ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa Kiislamu

    Jan 31, 2018 12:02

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Ni yakini kwamba Quds tukufu ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa Kiislamu na utarejea mikononi mwa Umma wa Kiislamu.

  • Uislamu kuwa dini ya pili kwa ukubwa nchini Marekani 2040

    Uislamu kuwa dini ya pili kwa ukubwa nchini Marekani 2040

    Jan 07, 2018 04:23

    Uchunguzi uliofanywa na kituo cha utafiti cha Pew nchini Marekani umeonesha kuwa, idadi ya Waislamu nchini humo itakuwa ya pili kwa ukubwa, baada ya Ukristo kufikia mwaka 2040.

  • Erdogan ataka Waislamu walio wachache Ugiriki waheshimwe

    Erdogan ataka Waislamu walio wachache Ugiriki waheshimwe

    Dec 09, 2017 04:03

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ametoa mwito wa kuheshimwa haki za jamii ya Waislamu walio wachache nchini Ugiriki.

  • Donald Trump atangazwa kuwa nembo ya kupiga vita Uislamu mwaka 2017

    Donald Trump atangazwa kuwa nembo ya kupiga vita Uislamu mwaka 2017

    Nov 27, 2017 04:42

    Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu (IHRC) yenye makao yake mjini London nchini Uingereza imemtangaza Rais Donald Trump wa Marekani kuwa ndio nembo ya propaganda chafu dhidi ya Uislamu katika mwaka huu wa 2017.

  • Mamilioni ya Waislamu duniani katika maombolezo ya Ashura

    Mamilioni ya Waislamu duniani katika maombolezo ya Ashura

    Oct 01, 2017 04:25

    Mamilioni ya Waislamu kote duniani leo wanashiriki katika maombolezo ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS katika siku ya Ashura.

  • Ongezeko la malalamiko ya Waislamu wa Ulaya juu ya ubaguzi na miamala mibaya

    Ongezeko la malalamiko ya Waislamu wa Ulaya juu ya ubaguzi na miamala mibaya

    Sep 22, 2017 04:08

    Matokeo mapya ya uchunguzi wa Shirika la European Union Agency for Fundamental Rights (FRA) unaonyesha kwamba, idadi ya Waislamu ambao wanabaguliwa na kufanyiwa miamala mibaya katika jamii ya Ulaya, imeongezeka sana.

  • HRW: Jeshi la Myanmar liadhibiwe kwa kutekeleza maangamizi ya kimbari dhidi ya Waislamu

    HRW: Jeshi la Myanmar liadhibiwe kwa kutekeleza maangamizi ya kimbari dhidi ya Waislamu

    Sep 18, 2017 09:27

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetaka vikwazo vikali vya kimataifa viwekewe Jeshi la Myanmar kutokana na kampeni yake ya kutekeleza maangamizi ya kimbari dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS