-
Upinzani wa Berlin dhidi ya kuwekwa makombora ya nyuklia ya Marekani nchini Ujerumani
Dec 28, 2018 02:57Rais Donald Trump wa Marekani tarehe 20 Oktoba mwaka huu alitangaza kuwa, nchi hiyo itajiondoa katika mkataba wa makombora ya nyuklia ya masafa ya kati maarufu kwa kifupi kwa jina la INF.
-
Ujerumani yapinga kuwekwa silaha za nyuklia za Marekani katika ardhi yake
Dec 27, 2018 02:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema kuwa Berlin inapinga suala la kuwekwa silaha za masafa ya kati za nyuklia za Marekani katika ardhi yake.
-
Vyuo Vikuu vya Ujerumani kuanza kutumia mafunzo ya Qurani
Dec 25, 2018 23:10Akademia ya Uislamu katika Sayansi na Jamii ya Chuo Kikuu cha Goethe nchini Ujerumani imeunda makundi mawili ya utafiti kwa lengo la kubuni mfumo wa kidijitali wa kuhifadhi maelezo na uchambuzi wa Qurani Tukufu na 'Sheria za Qurani'.
-
Ripoti ya Wizara: Vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu nchini Ujerumani vimeongezeka mno
Dec 13, 2018 11:38Gazeti la Neue Osnabrücker Zeitung la Ujerumani limeripoti kuwa, kwa mujibu wa ripoti ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi hiyo, vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu vimeongezeka mno katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Ujerumani yapinga kuongezwa vikwazo vya nchi za Ulaya dhidi ya Russia
Dec 08, 2018 23:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini amegusia mapigano ya hivi karibuni baina ya Russia na Ukraine na kusema kuwa suala la kuongeza vikwazo vya nchi za Ulaya dhidi ya Moscow haliingii akilini.
-
Ujerumani kuvutia miradi zaidi ya sekta binafsi barani Afrika na kwingineko katika uga wa tabianchi
Dec 03, 2018 12:01Gerd Mueller Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo wa Ujerumani amesema kuwa wiki hii nchi hiyo itaweka wazi ubunifu wake katika mazungumzo ya Umoja wa Mataifa kuhusu mabadliko ya tabianchi kwa ajili ya kuvutia miradi zaidi ya uwekezaji wa sekta binafsi barani Afrika na kwingineko.
-
Ujerumani yataka muundo wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa urekebishwe
Nov 26, 2018 23:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesisitizia ulazima wa kufanyiwa marekebisho muundo wa idadi ya wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Rais wa Ufaransa ataka ushirikiano na Ujerumani kuzuia ghasia na machafuko duniani
Nov 20, 2018 04:29Baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump wa Marekani, amekuwa akichukua maamuzi ya upande mmoja bila kuwashauri wenzake, wakiwemo waitifaki, jambo ambalo limepelekea dunia kushuhudia wimbi jipya la migogoro na machafuko katika nyuga mbali mbali.
-
Wasaudia 18 wazuiwa kuingia Ujerumani kwa tuhuma za mauaji ya Khashoggi
Nov 19, 2018 12:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani imezuia kuingia nchini humo kundi moja la raia wa Saudi Arabia wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi aliyekuwa akiukosoa utawala wa Aal Saud.
-
Ujerumani: Maelezo ya Saudi Arabia kuhusu mauaji ya Khashoggi hayakinaishi
Nov 16, 2018 21:41Serikali ya Ujerumani imetangaza kuwa, maelezo yaliyotolewa na Saudi Arabia kuhusu mauaji ya mkosoaji wa utawala wa nchi hiyo, Jamal Khashoggi hayatoshi.