-
Ujerumani: Uhusiano wa kibiashara na Iran unapaswa kuendelea kuwepo
Nov 06, 2018 01:19Msemaji wa serikali ya Ujerumani amesema kuwa, uhusiano wa kibiashara kati ya nchi hiyo ya bara Ulaya na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unapaswa kuendelea kuwepo.
-
Ujerumani yakosoa uamuzi wa Marekani wa kujitoa katika makubaliano ya INF
Nov 04, 2018 12:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amekosoa uamuzi wa Marekani wa kujitoa katika Makubaliano ya Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF) na kuyataja makubaliano hayo kuwa miongoni mwa mikataba muhimu sana ya kudhibiti silaha za nyuklia.
-
Uingereza, Ujerumani na Ufaransa zatoa taarifa ya pamoja kulaani mauaji ya Khashoggi
Oct 22, 2018 04:09Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Ujerumani na Ufaransa wametoa taarifa ya pamoja na kulaani kuuliwa mwandishi habari mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia.
-
Saudia yazidi kushinikizwa na kususiwa; Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani avunja safari
Oct 17, 2018 23:47Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini ya kuitembelea Saudi Arabia imevunjwa baada ya kubainika kuwa Riyadh imeshiriki katika mauaji ya mwandishi wa habari mkosoaji mkubwa wa nchi hiyo, Jamal Khashoggi.
-
Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zataka ufanyike "uchunguzi wa kuaminika" kuhusu mauaji ya Khashoggi
Oct 15, 2018 00:17Mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani wametoa taarifa ya pamoja wakiitaka Saudi Arabia na Uturuki zifanye "uchunguzi wa kuaminika" kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Aal Saud.
-
Takwa la Ujerumani la kuasisiwa Baraza la Usalama la Umoja wa Ulaya
Oct 10, 2018 04:29Kuibuka hitilafu na mizozo mikubwa baina ya Marekani na Umoja wa Ulaya baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump hususan katika masuala ya kiulinzi, nafasi na umuhimu wa Shirika la Kijeshi la NATO sambamba na kujitoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya (Brics) ni mambo ambayo yamezifanya nchi wanachama wa EU zichukue hatua za kuimarisha mipango na mikakati ya kujitegemea katika uga wa ulinzi na usalama.
-
Berlin yaitaka Russia izidishe uwekezaji nchini Ujerumani, yakaidi ushauri wa Trump
Oct 08, 2018 10:45Waziri wa Uchumi na Nishati wa Ujerumani ameitolea wito Russia izidishe uwekezaji katika sekta ya uchumi nchini Ujerumani.
-
Ujumbe wa bunge la Ujerumani: Maafa ya Myanmar ni maangamizi ya kizazi
Sep 11, 2018 23:12Ujumbe wa wabunge wa Ujerumani walioitembelea Myanmar wameeleza kuwa jinai zililizofanywa dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini humo si chini ya maangamizi ya kizazi.
-
Wageni waendelea kushambuliwa nchini Ujerumani
Sep 08, 2018 21:50Wakuu wa jimbo la Saxony la nchini Ujerumaini wametangaza habari ya kuendelea mashambulizi ya magenge ya wabaguzi wa rangi dhidi ya maeneo ya mji wa Chemnitz wa mashariki mwa nchi hiyo.
-
Canada yaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran na kuondoa utegemezi kwa sarafu ya dola ya Marekani
Sep 03, 2018 22:04Maamuzi ya upande mmoja ya kisiasa na kimabavu ya Marekani katika kipindi cha utawala wa rais Donald Trump yanaendelea kukabiliwa na upinzani kote duniani.