-
Berlin yaitaka Russia izidishe uwekezaji nchini Ujerumani, yakaidi ushauri wa Trump
Oct 08, 2018 10:45Waziri wa Uchumi na Nishati wa Ujerumani ameitolea wito Russia izidishe uwekezaji katika sekta ya uchumi nchini Ujerumani.
-
Ujumbe wa bunge la Ujerumani: Maafa ya Myanmar ni maangamizi ya kizazi
Sep 11, 2018 23:12Ujumbe wa wabunge wa Ujerumani walioitembelea Myanmar wameeleza kuwa jinai zililizofanywa dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini humo si chini ya maangamizi ya kizazi.
-
Wageni waendelea kushambuliwa nchini Ujerumani
Sep 08, 2018 21:50Wakuu wa jimbo la Saxony la nchini Ujerumaini wametangaza habari ya kuendelea mashambulizi ya magenge ya wabaguzi wa rangi dhidi ya maeneo ya mji wa Chemnitz wa mashariki mwa nchi hiyo.
-
Canada yaunga mkono mapatano ya nyuklia ya Iran na kuondoa utegemezi kwa sarafu ya dola ya Marekani
Sep 03, 2018 22:04Maamuzi ya upande mmoja ya kisiasa na kimabavu ya Marekani katika kipindi cha utawala wa rais Donald Trump yanaendelea kukabiliwa na upinzani kote duniani.
-
Sisitizo la Trump la kuzidi kuzibana kiuchumi nchi za Ulaya
Aug 24, 2018 08:54Rais wa Marekani, Donald Trump amesisitizia utekelezaji wa ilani yake ya uchaguzi ya "Marekani Kwanza" na ameahidi kuendelea kuzibana kiuchumi nchi za Ulaya kwa ajili ya kurejesha kile alichodai ni nguvu za Marekani zilizopotea.
-
Qassemi: Hatua hasimu za Marekani dhidi ya Iran zinakiuka sheria za kimataifa
Aug 20, 2018 09:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuundwa 'jopo kazi la hatua dhidi ya Iran' nchini Marekani ni katika fremu ya sera hasimu za Washington na kinyume cha sheria za kimataifa.
-
Qassemi: Hakuna imani yoyote ya kufanya mazungumzo na Marekani
Aug 07, 2018 10:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuhusu matamshi ya karibuni ya rais wa Marekani kuwa yuko tayari kufanya mazungumzo na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kwamba: kutokana na sera za Marekani za kuendesha vita vikubwa vya kisaikolojia dhidi ya Iran hakuna dhamana wala imani yoyote juu ya serikali ya Marekani wala rais wa nchi hiyo.
-
Mashauriano ya Lavrov na Merkel kuhusu Syria
Jul 25, 2018 22:33Tangu mwezi Disemba mwaka 2015 Russia ilituma majeshi katika nchi ya Syria kwa ajili ya kupambana na makundi ya kigaidi na vilevile kuisaidia serikali halali ya nchi hiyo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani: Marekani haiaminiki tena
Jul 16, 2018 22:24Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Ujerumani amejibu matamshi na hujuma ya maneno ya Rais wa Marekani aliyeutaja Umoja wa Ulaya kuwa ni "adui" kwa kusema: Ulaya haiwezi tena kuitegemea Ikulu ya Rais wa Marekani.
-
Trump aibua mifarakano katika muungano wa kijeshi wa NATO
Jul 12, 2018 05:03Siku ya kwanza ya kikao cha viongozi wa muungano wa kijeshi wa nchi za Magharibi, NATO, imemalizika huku mkutano huo ukishuhudia mashambulizi makali ya maneno ambayo hayajawahi kushuhudiwa ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Ujerumani, moja kati ya nchi muhimu zaidi katika muungano huo wa NATO.