-
Dakta Kharrazi: Vitendo vya kibabe vya Marekani vimesababisha ukosefu wa usalama Mashariki ya Kati
Jul 11, 2018 03:43Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje wa Iran amesema kuwa, uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya ndani ya nchi nyingine na miamala ya kibabe ya Marekani na utawala haramu wa Israel kuhusiana na Wapalestina ni mambo muhimu ambayo yamechangia mno kukosekana amani na uthabiti katika eneo la magharibi mwa Asia (Mashariki ya Kati)
-
Misri: Migogoro ya kieneo haiwezi kupatiwa ufumbuzi kwa mtutu wa bunduki
Jul 05, 2018 03:03Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Misri amesema kuwa, nchi yake inafanya juhudi kubwa katika mwenendo wa kupatiwa ufumbuzi migogoro wa Syria na Libya na kusisitiza kwamba, migogoro inayoshuhudiwa hivi sasa katika eneo la Mashariki ya Kati na kaskazini mwa Afrika ufumbuzi wake sio mtutu wa bunduki.
-
Magazeti ya Ujerumani yamkosoa Trump, yamwita "mpumbavu"
Jun 12, 2018 03:47Magazeti ya Ujerumani yamemtaja Rais Donald Trump wa Marekani kuwa ni mtu asiyejua mipaka yake wala asiye na mantiki na yamezitaka nchi zote za Ulaya kuacha kumfuata kiongozi huyo.
-
Wanasiasa wa Ujerumani wamjia juu balozi wa Marekani kwa kuingilia biashara za Berlin na Iran
Jun 05, 2018 22:03Wanasiasa nchini Ujerumani wamemjia juu balozi wa Marekani mjini Berlin kwa matamshi yake ya kijuba yaliyo dhidi ya mashirika ya Ujerumani yanayoendesha shughuli zao nchini Iran.
-
Ujerumani yaipigia magoti Iran, yaitaka isijiondoe JCPOA
May 29, 2018 23:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema Berlin iko tayari kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran madhali Tehran itaendelea kufungamana na mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Kansela wa Ujerumani Merkel apoteza matumaini kuhusu Marekani
May 11, 2018 03:44Kansela Angela Merkel wa Ujerumani kwa mara nyingine amesema nchi za Ulaya haziwezi kuendelea kuitegemea Marekani katika masuala ya kijeshi na kujihami. Merkel amewataka waitifaki wa Ujerumani barani Ulaya wachukue hatima ya bara hilo mikononi mwao kwani Marekani haiwezi kutegemewa tena.
-
Balozi wa Marekani Ujerumani ajikuta matatani baada ya kutoa matamshi ya kiuhasama
May 10, 2018 01:55Matamshi ya kuingilia masuala ya ndani ya Ujerumani yaliyotolewa na balozi mpya wa Marekani nchini humo kuhusiana na kadhia ya Iran, yamekabiliwa na radiamali kali kutoka kwa wanasiasa wa nchi hiyo.
-
Troika ya Ulaya: Tutalinda makubaliano ya JCPOA bila kujali uamuzi wa Trump
May 07, 2018 20:54Nchi tatu za Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zimetoa taarifa ya pamoja na kuutangazia ulimwengu kuwa zitaendelea kuheshimu mapatano ya nyuklia ya JCPOA bila ya kujali uamuzi wa Marekani.
-
Rais Frank-Walter Steinmeier: Ujerumani tunaunga mkono makubaliano ya JCPOA
May 07, 2018 02:27Rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani amesisitiza kuwa, nchi yakke inaunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na Iran na pia udharura wa kubakishwa makubaliano hayo.
-
Iran: Marekani ikijitoa katika JCPOA, tutaanzisha tena shughuli za nyuklia kwa kiwango cha kisasa zaidi
Apr 23, 2018 00:09Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, chaguo kuu la Iran endapo Marekani itajitoa katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA ni kuanzisha tena shughuli za nyuklia za taifa hili zenye malengo ya amani lakini kwa kiwango cha juu na cha kisasa zaidi.