-
Kuwait yapiga marufuku filamu ya 'Death on the Nile' iliyoigizwa na Muisraeli
Feb 07, 2022 23:19Kuwait imepiga marufuku kuonyeshwa kwa filamu ya Kimarekani ya Death on the Nile, iliyotengenezwa kutoka kwenye riwaya yenye majina ya Agatha Christie na kuchezwa na mwigizaji wa Israel, Gal Gadot.
-
Wapalestina kadhaa wauawa shahidi na wanajeshi wa Israel Ukanda wa Gaza
Feb 23, 2020 09:58Askari wa jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel wamewapiga risasi na kuwaua shahidi Wapalestina wawili katika uzio unaotenganisha Ukanda wa Gaza na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Wazayuni waendelea kushambulia Ghaza licha ya makubaliano ya kusitisha vita
Nov 16, 2019 04:22Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni mapema leo asubuhi zimefanya mashambulizi mengine katika Ukanda wa Ghaza licha ya Israel yenyewe kuomba usitishaji vita na wanamuqawama wa Palestina.
-
Wazayuni waua watoto 16 wa Kipalestina
Jul 10, 2019 03:14Kituo cha Haki za Binadamu cha Mizan kimetoa ripoti na kusema kuwa, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2019, wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel umeshaua shahidi watoto 16 wa Kipalestina kwa kuwapiga risasi kwa makusudi.
-
Iran yalaani jinai za Wazayuni huko Ghaza, Marekani yapongeza jinai hizo
May 05, 2019 22:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina waliozingirwa kila upande katika Ukanda wa Ghaza.
-
Askari wa Israel waua shahidi Wapalestina wawili katika maandamano Ghaza
Mar 30, 2019 11:20Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewapiga risasi na kuwaua shahidi Wapalestina wawili na kuwajeruhi wengine kadhaa katika Ukanda wa Ghaza wakati wa maandamano ya amani yaliyoitishwa kwa lengo la kuadhimisha kuanza 'Maandamano Makubwa ya Kurejea' na 'Siku ya Ardhi ya Palestina.'
-
Jeshi la Israel lajeruhi Wapalestina katika maandamano ya 49 ya 'Haki ya Kurejea"
Mar 02, 2019 02:57Wapalestina wanaoishi katika Ukanda wa Ghaza Ijumaa ya jana walishiriki katika wiki ya 49 ya maandamano makubwa ya amani ya 'Haki ya Kurejea' ambapo idadi kadhaa ya washiriki wamejeruhiwa baada ya kufyatuliwa risasi na wanajeshi wa utawala haramu wa Isarel.
-
HAMAS: Lengo la Muamala wa Karne ni kuzitenganisha Gaza na Ukingo wa Magharibi
Jan 08, 2019 21:29Mwanachama Mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu Palestina HAMAS amesema kuwa lengo la mpango wa Kimarekani unaoitwa 'Muamala wa Karne' ni kuutenganisha Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Indhari ya Wizara ya Afya ya Palestina kuhusu hali mbaya katika hospitali za Ghaza
Sep 09, 2018 23:40Wizara ya Afya ya Palestina imetahadharisha juu ya kusimamishwa shughuli za hospitali na vituo vya afya vya Ukanda wa Ghaza kutokana na kumalizika mafuta na nishati ya kuendeshea jenereta.
-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali inayotia wasiwasi ya Ukanda wa Gaza
Jul 24, 2018 07:03Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, hali ya Ukanda wa Gaza ni ya "maafa" na ametahadharisha kwamba, hali hiyo itazidi kuwa mbaya.