-
Katibu Mkuu wa UN ataka watu wenye Ukimwi wasaidiwe
Dec 01, 2016 15:01Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusaidiwa waathirika wa ugonjwa wa Ukimwi.
-
WHO: Nusu ya wanaoishi na HIV kote duniani hawajapimwa
Dec 01, 2016 04:09Shirika la Afya Duniani WHO limesema karibu nusu ya watu wanaoishi na virusi vya HIV kote duniani hawana habari wala ufahamu kuwa wameambukizwa virusi hivyo hatari vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi.
-
Hukumu ya miaka 2 jela kwa aliyenajisi mabinti 100 Malawi yakosolewa
Nov 23, 2016 08:08Mashirika ya kutetea haki za binadamu na asasi za kupambana na maambukizi ya virusi vya HIV nchini Malawi zimekosoa vikali hukumu ya kufungwa miaka miwili jela, iliyotolewa na mahakama moja nchini humo, dhidi ya mwathirika wa virusi vya HIV aliyewanajisi mabinti wadogo zaidi 100 kwa madai ya kuwasafisha na kuwafanyia tambiko la kimila na kiutamaduni.
-
Wake wa wakuu wa nchi za Afrika waahidi kumaliza HIV na Ukimwi ifikapo 2030
Jul 19, 2016 04:22Jumuiya ya Wake wa Wakuu wa Nchi za Afrika ya kupambana na virusi vya HIV vinavyosababisha Ukimwi kwa kifupi (OAFLA) kwa mara nyingine tena imeahidi kuimarisha ushirikiano baina ya wanachama wa jumuiya hiyo kwa ajili ya kupambana na virusi vya HIV na Ukimwi na kusema kuwa, ajenda yao kuu ni kuhakikisha virusi hivyo vinaangamizwa kikamilifu ifikapo mwaka 2030.
-
UNICEF: HIV/UKIMWI, sababu kuu ya vifo vya vijana Afrika
Jul 18, 2016 07:48Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema virusi vya HIV na ugonjwa hatari wa UKIMWI vingali sababu kuu ya vifo vya vijana barani Afrika.
-
UN yatahadharisha kuhusu ongezeko la HIV
Jul 13, 2016 15:20Idara ya Kupambana na Virusi vya HIV ya Umoja wa Mataifa (UNAIDS) imetahadharisha kuhusu ongezeko la maambukizi ya virusi hivyo kote duniani baada ya kuripotiwa habari za kuongezeka kesi za mambuzi ya virusi hivyo hatari.
-
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa laazimia kuangamiza Ukimwi Duniani
Jun 11, 2016 15:29Mkutano wa ngazi ya juu wa siku tatu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu namna ya kukomesha maambukizi ya Ukimwi umefungwa mjini New York.