Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Marekani yaona fahari kutumiwa silaha zake haramu za vishada Ukraine

    Marekani yaona fahari kutumiwa silaha zake haramu za vishada Ukraine

    Jul 21, 2023 04:19

    Marekani imepongeza na kusifu uamuzi wake wa kutuma mabomu yaliyopigwa marufuku kimataifa ya vishada nchini Ukraine.

  • Russia yawatahadharisha Wamagharibi kuhusu kutuma mabomu ya vishada huko Ukraine

    Russia yawatahadharisha Wamagharibi kuhusu kutuma mabomu ya vishada huko Ukraine

    Jul 17, 2023 00:53

    Rais wa Russia amezitahadharisha nchi za Magharibi kuhusu kutuma mabomu ya vishada huko Ukraine kwa kisingizio cha vita. Rais Vladimir Putin amebainisha haya kufuatia uamuzi wa karibuni wa Marekani kuhusu kutuma silaha hizo zizilizopigwa marufuku kimataifa huko Ukraine.

  • Kuongezeka upinzani wa ndani kwa sera ya Biden kuhusu vita vya Ukraine

    Kuongezeka upinzani wa ndani kwa sera ya Biden kuhusu vita vya Ukraine

    Jul 15, 2023 23:22

    Licha ya msisitizo wa hivi majuzi wa Rais wa Marekani, Joe Biden, wa kuendelea kutoa misaada ya silaha ya Marekani kwa Ukraine sambamba na kuendelea kwa vita vya umwagaji damu nchini humo, katika uwanja wa siasa za ndani za Marekani kunashuhudia ungezeko kubwa la upinzani dhidi ya mbinu ya kuchochea vita za serikali ya Biden.

  • Biden aonya: Kuipatia Ukraine uanachama wa NATO wakati wa vita kutaishia kwenye Vita vya Tatu vya Dunia

    Biden aonya: Kuipatia Ukraine uanachama wa NATO wakati wa vita kutaishia kwenye Vita vya Tatu vya Dunia

    Jul 14, 2023 08:19

    Rais Joe Biden wa Marekani ameonya kuwa uwezekano wa Ukraine kujiunga na NATO wakati iko vitani na Russia huenda matokeo yake ya mwisho yakawa ni kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia.

  • Russia: Tunakuchukulia kupata Ukraine ndege za kivita za F-16 kuwa ni kitisho cha nyuklia

    Russia: Tunakuchukulia kupata Ukraine ndege za kivita za F-16 kuwa ni kitisho cha nyuklia

    Jul 14, 2023 01:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema nchi yake, tofauti na Waanglo-Saxons, imekuwa ikitafuta amani kila wakati na akabainisha: "tunachukulia Ukraine kupata uwezo wa kijeshi kama wa kuwa na ndege za kivita za F-16 kwamba ni tishio la nyuklia kutoka Magharibi".

  • Siku  500 za vita huko Ukraine na mustakbali wake

    Siku 500 za vita huko Ukraine na mustakbali wake

    Jul 10, 2023 09:30

    Vita vya Ukraine vimepitisha siku 500 tangu kuanza na hakuonekani matarajio ya kumalizika vita hivyo vya umwagaji damu barani Ulaya. Vita hivyo ambavyo awali ilidhaniwa kwamba huwenda vingechukua muda mfupi na kumalizka haraka, sasa vimekuwa mapigano ya kijeshi ya muda mrefu na ya umwagaji damu.

  • Iran: Marekani inafanya hima kurefusha vita vya Ukraine

    Iran: Marekani inafanya hima kurefusha vita vya Ukraine

    Jul 09, 2023 07:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria mpango wa Marekani wa kutuma nchini Ukraine mabomu 'yaliyopigwa marufuku ya vishada na kusisitiza kuwa, Washington inafanya kila iwezalo ili kuhakikisha kuwa vita vya Ukraine havimaliziki haraka.

  • Marekani inataka kutuma Ukraine mabomu 'haramu' ya vishada

    Marekani inataka kutuma Ukraine mabomu 'haramu' ya vishada

    Jul 06, 2023 23:39

    Licha ya marufuku ya kimataifa ya matumizi ya mabomu ya vishada, lakini Marekani inatafakari juu ya uwezekano wa kutuma silaha hizo haramu nchini Ukraine.

  • Mkuu wa CIA alifanya safari ya siri Ukraine kabla ya uasi wa Wagner

    Mkuu wa CIA alifanya safari ya siri Ukraine kabla ya uasi wa Wagner

    Jul 01, 2023 07:06

    Magazeti ya Marekani yameripoti kuwa, Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) alifanya safari ya siri nchini Ukraine, siku chache kabla ya kufanyika uasi wa kundi la Wagner dhidi ya serikali ya Russia mnamo Juni 24.

  • Rais wa Ukraine akataa pendekezo la amani la viongozi wa Afrika

    Rais wa Ukraine akataa pendekezo la amani la viongozi wa Afrika

    Jun 17, 2023 08:36

    Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine amepuuzilia mbali mapendekezo ya ujumbe wa viongozi wa Afrika ya kufanyika mazungumzo ya kusitisha vita na kutafuta amani ya kudumu katika eneo hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS