-
Haley: Tunaipa silaha Ukraine ili 'tuzuie' vita, tutoe ujumbe kwa mahasimu wa US
Jun 05, 2023 23:15Nikki Haley mwenye azma ya kuteuliwa na chama cha Republican kuwa mgombea wake wa urais katika ujao nchini Marekani ametoa matamshi ya kujikanyaga akidai kuwa, njia pekee ya kukomesha vita vya Ukraine ni kuendelea mapigano baina ya Russia na Ukraine, na eti kushindwa Kiev katika vita hivyo kutaibua Vita vya Tatu vya Dunia.
-
Uzushi na undumakuwili wa Zelensky dhidi ya Iran
May 28, 2023 21:54Rais wa Ukraine kwa mara nyingine tena ameitaka Iran isiipatie Russia ndege za kivita zisizo na rubani kauli ambayo ameitoa kwa kutegemea madai bandia ambayo yamepingwa mara kadhaa na Iran na pia Ukraine haijaweza kutoa ushahidi wowote wa maana kuhusu madai hayo.
-
Raia milioni 3.5 wa Ukraine wamekimbilia Russia tokea Februari 2022
May 28, 2023 03:05Zaidi ya raia milioni tatu na laki tano wa Ukraine wametorokea nchini Russia tangu operesheni ya kijeshi ya Moscow dhidi ya Kiev ianze mnamo Februari 2022.
-
Russia: Katika masharti yetu ya suluhu ni Ukraine kutokuwa mwanachama wa NATO na EU
May 27, 2023 07:18Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza kuwa kuachana Ukraine na ndoto ya kujiunga na shirika la kijeshi la NATO na Umoja wa Ulaya EU ni miongoni mwa masharti ya Moscow ya kufanya suluhu na nchi hiyo.
-
Kan'ani: Madai ya uongo ya Ukraine yanalenga kuvutia misaada ya silaha na fedha kutoka Magharibi
May 27, 2023 03:47Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai ya chuki yaliyotolewa na Rais wa Ukraine dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa, hatua hiyo ya serikali ya Kiev ya kukariri madai ya uongo inalenga kuvutia misaada zaidi ya silaha na ya kifedha kutoka nchi za Magharibi.
-
Kremlin yajibu vitisho vya Ukraine vya kumuua Rais wa Russia
May 25, 2023 23:49Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Russia (Kremlin) amesema hatua ya watawala wa Ukraine ya kutishia kumuua kigaidi Rais Vladimir Putin wa Russia imeonyesha dhati ya ugaidi ya viongozi wa Kiev.
-
Gharama za kijeshi za Umoja wa Ulaya zimeongezeka kwa asilimia 30
May 14, 2023 08:05Mkuu wa Sera za Nje za Umoja wa Ulaya Josep Borrell ametangaza kuwa gharama za kijeshi za umoja huo zimeongezeka kwa asilimia 30.
-
Russia: Ukraine imewashambulia raia kwa makombora ya Uingereza
May 13, 2023 21:58Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa jeshi la Ukraine limewashambulia raia kwa kutumia makombora ya Uingereza.
-
Iran: Tunapinga kuendelea vita nchini Ukraine
Apr 27, 2023 02:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inapinga vita vya Ukraine na inaunga mkono juhudi za kusimamishwa vita na kurejea usalama na amani nchini humo.
-
Russia yakaribisha mpango wa China wa amani na Ukraine
Apr 21, 2023 22:10Russia imeunga mkono mpango wa vipengee 12 uliopendekezwa na China kwa ajili ya kufikia amani kati yake na Ukraine.