-
Mawaziri wa ulinzi wa Russia na US wafanya mazungumzo nadra ya simu kujadili vita vya Ukraine
Oct 22, 2022 09:00Wizara za ulinzi za Marekani na Russia zimetangaza kuwa, mawaziri wa ulinzi wa nchi hizo mbili Lloyd Austin na Sergei Shoigu wamefanya mazungumzo nadra kwa njia ya simu yaliyojikita zaidi kujadili vita vya Ukraine.
-
Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai yasiyo na msingi
Oct 21, 2022 07:14Siku ya Alhamisi, Oktoba 20, Umoja wa Ulaya ulitangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran kwa kutegemea madai ambayo hayajathibitishwa kuhusu kushiriki ndege zisizo na rubani zilizotengenezwa na Iran katika vita vya Ukraine.
-
Berlusconi amlaumu Rais Zelensky kwa vita vya Ukraine
Oct 21, 2022 00:42Waziri Mkuu wa zamani wa Italia, Silvio Berlusconi amesema Rais Volodymyr Zelenskiy wa Ukraine ndiye aliyemsukuma kwenye vita Rais Vladimir Putin wa Russia.
-
Amir-Abdollahian: Iran inapinga vikali vita na kuzipatia silaha pande mbili zinazopigana
Oct 20, 2022 00:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu inapinga vikali vita na kuupatia silaha upande wowote kati ya pande mbili zinazopigana.
-
Tume ya UN yawasilisha ripoti ya jinai za kivita zilizofanywa na Ukraine
Oct 19, 2022 07:05Tume ya Umoja wa Mataifa inayofuatilia haki za binadamu imerekodi kwa uchache kesi mbili za uhalifu wa kivita uliofanywa na jeshi la Ukraine katika mzozo wa nchi hiyo na jeshi la Russia.
-
Russia yaionya vikali Israel dhidi ya kuipa silaha Ukraine
Oct 18, 2022 04:10Rais wa zamani wa Russia ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka usithubutu kuipa silaha Ukraine.
-
Saudia yaahidi kuipatia Ukraine msaada wa dola milioni 400
Oct 15, 2022 22:54Saudi Arabia imeahidi kuipatia Ukraine msaada wa dola milioni 400 kwa ajili ya masuala ya kibinadamu.
-
Putin: NATO inaingilia mambo ya ndani ya mataifa mengi duniani
Oct 13, 2022 23:15Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, jeshi la nchi za Magharibi NATO linaingilia mambo ya ndani ya nchi nyingi duniani kinyume cha sheria.
-
UN yakataa kuzitambua kura za maoni za kuyaunganisha na Russia maeneo ya Ukraine
Oct 13, 2022 04:21Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha azimio la nne tangu vilipoanza vita kati ya Russia na Ukraine ambapo limekataa kutambua kura za maoni za kuyaunganisha na Russia maeneo kadhaa ya ardhi ya Ukraine.
-
Russia: Rais wa Ukraine anachochea vita vya tatu vya dunia
Oct 07, 2022 08:00Ikulu ya Russia, Kremlin imemshutumu Rais Vladimir Zelensky wa Ukraine kwa kujaribu kuzusha vita vya tatu vya dunia, baada ya kulitaka shirika la kijeshi la NATO lianzishe mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Russia ili kuizuia isitumie silaha za nyuklia.