Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Russia: Tumepiga Ukraine kwa makombora ya hypersonic

    Russia: Tumepiga Ukraine kwa makombora ya hypersonic

    Aug 28, 2025 22:53

    Russia imetangaza habari ya kutekeleza mashambulizi ya masafa marefu dhidi ya shabaha za jeshi la Ukraine, kwa kutumia aina mbalimbali za silaha, yakiwemo makombora ya hypersonic aina ya Kinzhal.

  • Ubelgiji kupiga marufuku simu za mkononi maskulini kuanzia mwaka wa masomo wa 2025-2026

    Ubelgiji kupiga marufuku simu za mkononi maskulini kuanzia mwaka wa masomo wa 2025-2026

    Aug 19, 2025 02:42

    Matumizi ya simu za mkononi na vifaa vingine vya kielektroniki yatapigwa marufuku nchini kote Ubelgiji katika skuli za msingi na sekondari kuanzia mwaka wa masomo wa 2025-2026, isipokuwa vitakapolazimu kutumika kwa sababu za kimasomo, kiafya, au za dharura. Hayo yameripotiwa na vyombo vya habari vya ndani ya nchi hiyo.

  • Trump na Putin wakutana Alaska bila ya kufikia mwafaka wa kusimamishwa vita vya Ukraine

    Trump na Putin wakutana Alaska bila ya kufikia mwafaka wa kusimamishwa vita vya Ukraine

    Aug 16, 2025 01:37

    Duru ya kwanza ya mazungumzo kati ya Rais Vladimir Putin wa Russia na Rais wa Marekani Donald Trump iliyofanyika katika jimbo la Alaska nchini Marekani imemalizika pasi na kufikiwa mwafaka wa kusimamishwa vita vya Ukraine.

  • CNN: Vita vya Ukraine sasa ni vita vya Trump

    CNN: Vita vya Ukraine sasa ni vita vya Trump

    Aug 05, 2025 10:42

    Rais Donald Trump wa Marekani ameingia kikamilifu katika vita vya Ukraine na kushika usukani wa mgogoro huo kisiasa na kijeshi; vita ambavyo, katokana na maamuzi yake ya karibuni sio tena mzozo wa kikanda, bali ni mtihani kuhusu nafasi ya Marekani duniani.

  • Russia yatoa sharti la kufanyika mkutano wa ana kwa ana kati ya Putin na Zelensky

    Russia yatoa sharti la kufanyika mkutano wa ana kwa ana kati ya Putin na Zelensky

    Jul 24, 2025 03:12

    Kiongozi mkuu wa ujumbe wa Russia katika mazungumzo na Ukraine, Vladimir Medinsky amesema, viongozi wa nchi hizo mbili inapasa wakutane baada ya mkataba wa amani kuwa tayari kutiwa saini, si vinginevyo.

  • Seneta wa Russia: Trump ameangukia kwenye

    Seneta wa Russia: Trump ameangukia kwenye "mtego" wa Ukraine

    Jul 22, 2025 11:23

    Kuhusu vita vya Ukraine na misimamo ya karibuni ya Rais wa Marekani, Seneta huyo wa Russia amesema: "Trump ameingia kwenye mtego wa Ukraine.

  • Zelensky ataka afanye mazungumzo binafsi na Putin

    Zelensky ataka afanye mazungumzo binafsi na Putin

    Jul 20, 2025 11:22

    Rais Vladimir Zelensky wa Ukraine kwa mara nyingine ametoa wito wa kufanyika mazungumzo binafsi kati yake na Rais Vladimir Putin wa Russia, akisema hiyo ndiyo njia pekee ya kupatikana amani ya kudumu.

  • Mfumo wa ulinzi wa anga wa Russia watungua droni 400 za Ukraine

    Mfumo wa ulinzi wa anga wa Russia watungua droni 400 za Ukraine

    Jul 07, 2025 07:45

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema kuwa Jeshi la anga la nchi hiyo limefanikiwa kudungua ndege zisizo na rubani 402 za Ukraine na mabomu saba ya angani yaliyokuwa yakiongozwa tokea mbali.

  • Sababu za Marekani kusimamisha kutuma mokombora ya ulinzi wa anga nchini Ukraine

    Sababu za Marekani kusimamisha kutuma mokombora ya ulinzi wa anga nchini Ukraine

    Jul 04, 2025 08:56

    Katika hali ambayo Ukraine imekuwa ikishambuliwa vikali kwa ndege zisizo na rubani na makombora ya Russia katika kipindi cha miaka minne iliyopita, Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imesitisha baadhi ya shehena za kijeshi ilizoahidiwa Ukraine, ikiwa ni pamoja na makombora ya Patriot na Hellfire.

  • Afisa wa Sudan: Ukraine inafanya ‘kazi chafu’ ya Wamagharibi Afrika

    Afisa wa Sudan: Ukraine inafanya ‘kazi chafu’ ya Wamagharibi Afrika

    Jun 09, 2025 07:43

    Afisa mmoja wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan amesema Ukraine inatekeleza "kazi chafu" ya nchi za Magharibi kwa kuunga mkono makundi yenye silaha yanayohusika na mashambulizi ya kigaidi katika mataifa ya Afrika kama vile Libya, Somalia na Niger.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS