Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Papa Francis atoa wito wa kukomesha vita nchini Ukraine

    Papa Francis atoa wito wa kukomesha vita nchini Ukraine

    Mar 21, 2022 04:16

    Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani ametoa wito wa kusitishwa vita nchini Ukraine.

  • Nasrullah akanusha madai ya kuwepo vikosi vya Hizbullah nchini Ukraine

    Nasrullah akanusha madai ya kuwepo vikosi vya Hizbullah nchini Ukraine

    Mar 19, 2022 08:55

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekanusha vikali ripoti ya baadhi ya vyombo vya habari inayodai kuwa wapiganaji kadhaa na washauri wa kijeshi wa harakati hiyo ya muqawama wapo Ukraine kupigana katika safu moja na wananajeshi wa Russia.

  • China: Ufunguo wa mgogoro wa Ukraine uko mikononi mwa NATO na Marekani

    China: Ufunguo wa mgogoro wa Ukraine uko mikononi mwa NATO na Marekani

    Mar 18, 2022 03:55

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema ufunguo wa mgogoro wa Ukraine uko mikononi mwa NATO na Marekani ambao ndio wasababishaji wake wakuu.

  • Russia yaangamiza mifumo 11 ya ulinzi wa makombora ya jeshi la Ukraine

    Russia yaangamiza mifumo 11 ya ulinzi wa makombora ya jeshi la Ukraine

    Mar 17, 2022 19:03

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetoa taarifa ikibainisha kuhusu mchakato wa mashambulizi ya nchi hiyo huko Ukraine na kutangaza kuwa, katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita imeangamiza ndege mbili za kivita, droni 12 na ghala moja la kijeshi la Ukraine.

  • Amir Abdollahian: Iran inaunga mkono juhudi za kutatua mzozo wa Ukraine

    Amir Abdollahian: Iran inaunga mkono juhudi za kutatua mzozo wa Ukraine

    Mar 15, 2022 04:46

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono juhudi za kisiasa za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Ukraine.

  • Macron na Biden waafikiana kuongeza vikwazo dhidi ya Russia

    Macron na Biden waafikiana kuongeza vikwazo dhidi ya Russia

    Mar 14, 2022 04:43

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amezungumza kwa njia ya simu na mwenzake wa Marekani kuhusu mashambulio ya Russia dhidi ya Ukraine, na pande hizo mbili zimekubaliana kuzidisha vikwazo dhidi ya Moscow.

  • Kukiri EU kosa lake la kuiahidi Ukraine kujiunga na NATO

    Kukiri EU kosa lake la kuiahidi Ukraine kujiunga na NATO

    Mar 13, 2022 23:23

    Josep Borrell Fontelles, Mkuu wa Sera za Kigeni za Umoja wa Ulaya amekiri kuwa kitendo cha umoja huo cha kuipa ahadi Ukraine ya kuiunga na Jeshi la Nchi za Magharibi NATO, lilikuwa kosa.

  • Kutoweka na magendo ya watoto; upande mwingine wa taswira ya vita vya Ukraine

    Kutoweka na magendo ya watoto; upande mwingine wa taswira ya vita vya Ukraine

    Mar 12, 2022 22:50

    Makundi ya kutoa misaada ya kibinadamu na taasisi za kusaidia watu wenye uhitaji katika maeneo ya mpakani ya Ukraine yameeleza kwasiwasi wao kuhusu biashara haramu ya binadamu hususan kuuzwa watoto sambamba machafuko yaliyosabaishwa na mgogoro wa wakimbizi katika vita vya Ukraine.

  • Kuwepo kwa wapiganaji wa kigeni katika vita vya Ukraine; mwelekeo na sura mpya

    Kuwepo kwa wapiganaji wa kigeni katika vita vya Ukraine; mwelekeo na sura mpya

    Mar 12, 2022 07:13

    Sambamba na kuendelea vita huko Ukraine, kuwepo kwa vikosi na wapiganaji wa kigeni kumevipa vita hivyo sura na mwelekeo mpya. Ni baada ya Rais Vladimir Putin wa Russia kuafiki suala la kuwezesha wapiganaji na vikosi vya kujitolea vinavyounga mkono nchi hiyo kushiriki katika vita vya Ukraine.

  • UN: Hatuna taarifa za kuwepo silaha za biolojia nchini Ukraine

    UN: Hatuna taarifa za kuwepo silaha za biolojia nchini Ukraine

    Mar 12, 2022 03:28

    Naibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na udhibiti wa kuenea kwa silaha duniani amesema, umoja huo hauna taarifa zozote kuhusu mipango ya uzalishaji silaha za vijidudu za kibiolojia nchini Ukraine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS