Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ukraine

  • Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran akosoa ubaguzi wa nchi za Magharibi katika kadhia ya Ukraine

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran akosoa ubaguzi wa nchi za Magharibi katika kadhia ya Ukraine

    Mar 11, 2022 08:20

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amekosoa sera za kibaguzi za nchi za Magharibi za kuwatambua wazugu na watu weupe kutoka Ukraine kuwa ndio boza zaidi ya watu wa rangi nyingine na kusema hilo ni doa jeusi na la kufedhehesha.

  • Baraza la Usalama la UN leo linajadili faili la silaha za kibaolojia nchini Ukraine

    Baraza la Usalama la UN leo linajadili faili la silaha za kibaolojia nchini Ukraine

    Mar 11, 2022 08:19

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litafanya kikao cha dharura leo kwa ombi la Russia kujadili faili la silaha za kibaolojia nchini Ukraine. Ni baada ya Moscow kuzishutumu Kyiv na Washington kwamba zimekuwa zikitengeneza silaha za kibaolojia za kueneza magonjwa hatari kwa kutumia wanyama, jambo ambalo Marekani na Ukraine zimelikanusha.

  • Kesi za maambukizi ya corona zaongezeka Nigeria baada ya wanafunzi kurejea nchini wakitokea Ukraine

    Kesi za maambukizi ya corona zaongezeka Nigeria baada ya wanafunzi kurejea nchini wakitokea Ukraine

    Mar 11, 2022 01:13

    Nigeria imetangaza ongezeko la maambukizo ya Covid-19 siku moja baada ya kusajili idadi ndogo zaidi ya kila siku iliyorekodiwa tangu kuanza kwa janga hilo.

  • Mgogoro wa Ukraine kwa mtazamo wa Hassan Nasrullah; kuporomoka kimaadili Wamagharibi

    Mgogoro wa Ukraine kwa mtazamo wa Hassan Nasrullah; kuporomoka kimaadili Wamagharibi

    Mar 10, 2022 22:59

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mgogoro wa Ukraine umeonyesha kuporomoka kimaadili Wamagharibi.

  • Palestina: Mgogoro wa Ukraine umeonyesha kuwa vigezo vya mfumo wa kimataifa ni vya kibaguzi

    Palestina: Mgogoro wa Ukraine umeonyesha kuwa vigezo vya mfumo wa kimataifa ni vya kibaguzi

    Mar 10, 2022 08:55

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema, mgogoro wa Ukraine umeonyesha kuwa vipimo na vigezo vinavyotumiwa na mfumo wa kimataifa ni vya kibaguzi na undumakuwili.

  • Upinzani dhidi ya uanachama wa Ukraine katika Umoja wa Ulaya

    Upinzani dhidi ya uanachama wa Ukraine katika Umoja wa Ulaya

    Mar 08, 2022 08:00

    Mjumbe mmoja wa ngazi za juu katika bunge la Ujerumani amesema kuwa mkondo wa kuipa Ukraine uanachama katika Umoja wa Ulaya ni hatari kwa maslahi ya umoja huo na kwamba njia bora ni kuipa Ukraine uanachama wa heshima tu.

  • Ukosoaji wa misimamo ya kindumakuwili ya nchi za Kiarabu na Magharibi kuhusu vita vya Yemen na Ukraine

    Ukosoaji wa misimamo ya kindumakuwili ya nchi za Kiarabu na Magharibi kuhusu vita vya Yemen na Ukraine

    Mar 07, 2022 23:20

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Yemen amekosoa vikali mienendo na misimamo ya kiundumakuwili wa baadhi ya nchi za Kiarabu kuhusu vita vya Yemen na Ukraine. Baadhi ya wachambuzi pia wamekosoa misimamo kama hiyo nchi za Magharibi.

  • Ufaransa na UK zalumbana kuhusu wakimbizi wa Ukraine

    Ufaransa na UK zalumbana kuhusu wakimbizi wa Ukraine

    Mar 07, 2022 23:08

    Wimbi la wakimbizi wa Ukraine ambalo linahesabiwa kuwa ni la kasi kubwa zaidi barani Ulaya baada ya Vita vya Pili vya Duniani, limezitumbukiza nchi mbili za Ufaransa na Uingereza katika vita vya maneno na malumbano.

  • Wanaigeria wazuiwa kwenda kupigana vita Ukraine

    Wanaigeria wazuiwa kwenda kupigana vita Ukraine

    Mar 07, 2022 08:58

    Serikali ya Nigeria imesema kuwa haitamruhusu raia wake yoyote kwenda kupigana vita Ukraine baada ya Russia kuishambulai nchi hiyo hivi karibuni.

  • Russia yaonya kuhusu kutumwa magaidi wa ISIS nchini Ukraine

    Russia yaonya kuhusu kutumwa magaidi wa ISIS nchini Ukraine

    Mar 06, 2022 01:19

    Idara ya Ujasusi wa Nje ya Russia (SVR) imesema katika taarifa yake ya siku ya Ijumaa kwamba Marekani inawapa mafunzo magaidi wa Daesh (ISIS) katika kituo cha Al-Tanf nchini Syria ili wapelekwe Ukraine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS