Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ulaya

  • Peskov: Ulaya inashadidisha mzozo wa Ukraine kwa kuzidisha misaada yake ya kijeshi kwa nchi hiyo

    Peskov: Ulaya inashadidisha mzozo wa Ukraine kwa kuzidisha misaada yake ya kijeshi kwa nchi hiyo

    Mar 24, 2025 07:58

    Msemaji wa ikulu ya Russia (Kremlin) ametangaza kuwa Ulaya inachagiza mzozo wa UKraine kwa kuzidisha misaada ya kijeshi kwa nchi hiyo badala ya kutatua vyanzo vya mzozo huo.

  • EU: Trump ni janga baya zaidi kwa dunia kuliko hata Corona

    EU: Trump ni janga baya zaidi kwa dunia kuliko hata Corona

    Mar 18, 2025 02:12

    Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amesababisha kukosekana utulivu katika ghughuli za kiuchumi na rais huyo ni janga baya zaidi kuliko hata janga la Corona la miaka mitano iliyopita.

  • Baqaei: Jumbe za Marekani zinakinzana

    Baqaei: Jumbe za Marekani zinakinzana

    Mar 17, 2025 11:38

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa jumbe zinazotoka Marekani zinakinzana yaani sambamba na kubainisha kuwa nchi hiyo iko tayari kufanya mazungumzo, wakati huo huo vikwazo vikubwa vinawekwa kwa sekta mbalimbali za kibiashara na uzalishaji za Iran.

  • Rais wa China akataa mwaliko wa EU wa kuhudhuria kikao cha kuadhimisha miaka 50 ya uhusiano

    Rais wa China akataa mwaliko wa EU wa kuhudhuria kikao cha kuadhimisha miaka 50 ya uhusiano

    Mar 17, 2025 05:36

    Rais Xi Jinping wa China amekataa mwaliko wa kuhudhuria kikao kilichopangwa kufanyika mjini Brussels kuadhimisha miaka 50 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi yake na Umoja wa Ulaya.

  • Araqchi: Iran iko tayari kuzungumza na Ulaya katika mazingira ya kuheshimiana

    Araqchi: Iran iko tayari kuzungumza na Ulaya katika mazingira ya kuheshimiana

    Mar 16, 2025 02:50

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Tehran iko tayari kuzungumza na nchi za Ulaya katika mazingira ya kuheshimiana na yanayojali maslahi ya pamoja.

  • Faili la nyuklia la Iran: Tehran yawaita mabalozi wa UK, Ufaransa, Ujerumani

    Faili la nyuklia la Iran: Tehran yawaita mabalozi wa UK, Ufaransa, Ujerumani

    Mar 14, 2025 02:31

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewaita mabalozi wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuhusu jaribio lao la pamoja na Marekani katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, dhidi ya mradi wa nyuklia wa Iran wenye malengo ya amani.

  • Trump na kukandamizwa uhuru wa kusema huko Marekani

    Trump na kukandamizwa uhuru wa kusema huko Marekani

    Mar 08, 2025 04:23

    Gazeti la Marekani la Washington Post limeandika makala likiashiria amri za utendaji zilizotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, tangu aingie madarakani na kusema: Wakosoaji wanamtuhumu kuwa anakandamiza sana uhuru wa kujieleza na kukiuka Katiba ya Marekani.

  • Hungary: Baadhi ya nchi za Ulaya zinakwamisha kumalizika vita huko Ukraine

    Hungary: Baadhi ya nchi za Ulaya zinakwamisha kumalizika vita huko Ukraine

    Feb 25, 2025 02:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Hungary amesema kuwa "Waliberali wa Ulaya wanaounga mkono vita" wanakwamisha kufanyika mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Russia ili kuhitimisha vita huko Ukraine.

  • Hadi ifikapo 2050 Waislamu watakuwa khumsi moja ya watu wote barani Ulaya

    Hadi ifikapo 2050 Waislamu watakuwa khumsi moja ya watu wote barani Ulaya

    Jan 11, 2025 02:57

    Tovuti ya habari ya Globe Eye News imeripoti kuwa idadi ya Waislamu barani Ulaya itazidi kuongezeka katika kipindi cha miaka ijayo.

  • Nyota wa zamani wa NBA: Nililazimishwa kufuta haraka mtandaoni ujumbe wa

    Nyota wa zamani wa NBA: Nililazimishwa kufuta haraka mtandaoni ujumbe wa "Palestina Huru"

    Jan 09, 2025 06:09

    Nyota wa zamani wa Ligi ya Mpira wa Vikapu nchini Marekani NBA Dwight Howard amesema, miaka michache iliyopita alilazimika kufuta haraka ujumbe alioweka kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter wa kuunga mkono Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS