-
Trump na kukandamizwa uhuru wa kusema huko Marekani
Mar 08, 2025 00:53Gazeti la Marekani la Washington Post limeandika makala likiashiria amri za utendaji zilizotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, tangu aingie madarakani na kusema: Wakosoaji wanamtuhumu kuwa anakandamiza sana uhuru wa kujieleza na kukiuka Katiba ya Marekani.
-
Hungary: Baadhi ya nchi za Ulaya zinakwamisha kumalizika vita huko Ukraine
Feb 24, 2025 22:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Hungary amesema kuwa "Waliberali wa Ulaya wanaounga mkono vita" wanakwamisha kufanyika mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Russia ili kuhitimisha vita huko Ukraine.
-
Hadi ifikapo 2050 Waislamu watakuwa khumsi moja ya watu wote barani Ulaya
Jan 10, 2025 23:27Tovuti ya habari ya Globe Eye News imeripoti kuwa idadi ya Waislamu barani Ulaya itazidi kuongezeka katika kipindi cha miaka ijayo.
-
Nyota wa zamani wa NBA: Nililazimishwa kufuta haraka mtandaoni ujumbe wa "Palestina Huru"
Jan 09, 2025 02:39Nyota wa zamani wa Ligi ya Mpira wa Vikapu nchini Marekani NBA Dwight Howard amesema, miaka michache iliyopita alilazimika kufuta haraka ujumbe alioweka kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter wa kuunga mkono Palestina.
-
Rais wa Kenya akiri hadharani: Vyombo vya usalama vimejichukulia mamlaka kinyume cha sheria
Jan 02, 2025 03:18Rais William Ruto wa Kenya kwa mara ya kwanza amekiri hadharani matumizi mabaya ya mamlaka yanayofanywa na vikosi vya usalama, kufuatia wimbi la utekaji nyara wenye utata ambao umezua maandamano makubwa ya upinzani nchini humo.
-
Mkuu wa Intelijensia Ufaransa adai Ikhwanul-Muslimin ina lengo la kuasisi 'Khilafa' ya Ulaya
Dec 27, 2024 03:23Mkuu wa Shirika la Intelijensia la Ufaransa amedai kuwa Harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul-Muslimin imekuwa ikipanua ushawishi wake nchini humo, na lengo lake kuu ni kuifanya nchi hiyo kuwa sehemu ya Khilafa inayoendeshwa kwa Sharia za Uislamu.
-
Onyo la Putin kuhusu kuwekwa makombora mapya ya Marekani barani Ulaya na Asia
Dec 18, 2024 07:37Rais Vladimir Putin wa Russia, ametoa onyo kuhusu kuwekwa makombora ya masafa ya kati na mafupi ya Marekani barani Ulaya na Asia, akisisitiza kwamba nchi yake itatoa jibu la pande zote kwa hatua hiyo. Putin amesema, mpango wa Washington wa kuweka makombora barani Ulaya unaitia wasiwasi mkubwa Moscow.
-
Idadi ya wafungwa Ufaransa yavunja rekodi huku wasiwasi wa msongamano ukiongezeka
Dec 01, 2024 23:07Wasiwasi umeibuka katika magereza ya Ufaransa baada ya idadi ya wafungwa kuongezeka na kuibua wasiwasi wa kutokea msongamano katika magereza ya nchi hiyo.
-
Waziri wa zamani wa vita wa Israel: Tunachofanya kaskazini ya Ghaza ni "maangamizi ya kizazi"
Dec 01, 2024 02:45Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Moshe Yaalon amesema, utawala huo unafanya "maangamizi ya kizazi" kaskazini ya Ukanda wa Ghaza, akimshutumu waziri mkuu Benjamin Netanyahu kwa kuielekeza Israel kwenye "uharibifu."
-
Iran na nchi tatu za Ulaya zaafikiana kuendeleza mazungumzo ya kidiplomasia
Nov 30, 2024 03:58Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran wa masuala ya Sheria na Kimataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu na nchi tatu za Ulaya zimeafikiana kuendeleza mazungumzo ya kidiplomasia.