-
Umoja wa Mataifa wapongeza hatua ya Machar kurejea Juba
Apr 27, 2016 10:06Umoja wa Mataifa umepongeza hatua ya Riek Machar, kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini kurejea katika mji mkuu wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika na kuunda serikali na Rais Salva Kiir.
-
Mfuko wa UN wa kuwasaidia wakimbizi wa Sudan Kusini wakauka
Apr 26, 2016 03:49Umoja wa Mataifa umeonya kuwa unakabiliwa na uhaba mkubwa wa fedha za kuwasaidia maelfu ya wakimbizi wa Sudan Kusini na haswa ambao wamekimbilia nchi jirani ya Sudan.
-
UN yatiwa wasi wasi na ongezeko la taharuki ya kisiasa Kongo DR
Apr 26, 2016 03:46Umoja wa Mataifa umeelezea wasi wasi wake kuhusu kuongezeka taharuki na uhasama wa kisiasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Rais Joseph Kabila wa DRC aonana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Apr 24, 2016 10:19Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameonana na Ban Ki mooon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kujadiliana naye hali ya kisiasa na kiusalama ya nchi hiyo.
-
Machar: Nisilaumiwe, serikali ya Juba imenizuia kuingia nchini, yumkini nitasafiri Jumatatu
Apr 24, 2016 03:00Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini Riek Machar amesema binafsi anatamani kusafiri kwenda mji mkuu wa nchi hiyo Juba lakini serikali ya Rais Salva Kiir ndio imemnyima kibali cha kuingia mjini humo.
-
UN yazitaka pande hasimu Yemen kuzungumza kwa nia njema
Apr 21, 2016 03:31Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amezitaka pande zinazozozana katika mgogoro wa Yemen kuketi kwenye meza ya mazungumzo ya Kuwait kwa nia njema.
-
UN yathibitisha, mamia ya wahajiri wameghariki pwani ya Libya
Apr 21, 2016 02:44Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa, mamia ya wahamiaji haramu wamezama katika maji ya ya Libya baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama baharini.
-
UN yataka kuongezwa muda askari wake wa Sahara Magharibi
Apr 20, 2016 03:20Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuongezewa muda wa kuhudumu askari wa kulinda amani wa umoja huo katika eneo la Sahara Magharibi MINURSO, akionya kuwa, iwapo vikosi hivyo vitaondolewa kikamilifu, eneo hilo litakuwa katika hatari ya kushuhudia migogoro zaidi.
-
Askari wa Umoja wa Mataifa auawa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Apr 19, 2016 03:20Askari wa kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa ameuawa katika hujuma ya waasi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Hali tete ya Libya
Apr 18, 2016 03:39Hali ya mambo nchini Libya inatajwa kuwa ni tete licha ya kuanza kazi serikali ya umoja wa kitaifa iliyoungwa mkono na kukaribishwa na jamii ya kimataifa.