Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Viongozi wa kisiasa wa Kongo watolewa wito wa kushiriki mazungumzo

    Viongozi wa kisiasa wa Kongo watolewa wito wa kushiriki mazungumzo

    Apr 17, 2016 10:50

    Mkuu wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amewatolea wito viongozi wa kisiasa wa nchi hiyo kushiriki mazungumzo ya kitaifa ya nchi hiyo.

  • Iran yajibu tuhuma za Saudia na Utawala wa Kizayuni

    Iran yajibu tuhuma za Saudia na Utawala wa Kizayuni

    Apr 15, 2016 03:14

    Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa jibu kali kwa matamshi yasiyo na msingi ya mabalozi wa Utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudia dhidi ya Iran.

  • Mjumbe wa UN kuitembelea Tehran kuhusu mgogoro wa Syria

    Mjumbe wa UN kuitembelea Tehran kuhusu mgogoro wa Syria

    Apr 08, 2016 03:47

    Staffan de Mistura mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria anatazamiwa kuitembelea Iran karibuni hivi.

  • UN: serikali ya umoja wa kitaifa Libya inapasa kuchukua uongozi wa nchi  haraka iwezekanavyo

    UN: serikali ya umoja wa kitaifa Libya inapasa kuchukua uongozi wa nchi haraka iwezekanavyo

    Apr 06, 2016 23:10

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ametaka kukabidhiwa haraka na kikamilifu uongozi wa nchi kwa serikali ya umoja wa kitaifa.

  • Waziri wa Afya: Walioaga dunia kwa homa ya manjano Angola wamefikia 225

    Waziri wa Afya: Walioaga dunia kwa homa ya manjano Angola wamefikia 225

    Apr 06, 2016 09:32

    Waziri wa Afya wa Angola ametangaza kuwa, idadi ya watu waliopoteza maisha yao nchini humo kwa homa ya manjano imeongezeka na kufikia 225.

  • UN yatahadharisha kuhusu maafa ya mabomu ya kutegwa ardhini duniani

    UN yatahadharisha kuhusu maafa ya mabomu ya kutegwa ardhini duniani

    Apr 04, 2016 12:03

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watu wasiopungua 10 hufariki dunia kila siku kutokana na kulipuka kwa mabomu ya kutengwa ardhi katika maeneo mbalimbali duniani.

  • Kuendelea kukimbilia Sudan raia wa Sudan Kusini kunatia wasiwasi

    Kuendelea kukimbilia Sudan raia wa Sudan Kusini kunatia wasiwasi

    Mar 30, 2016 02:02

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa kuendelea mzozo huko Sudan Kusini na raia wa nchi hiyo kukimbilia nchini Sudan kunatia wasiwasi.

  • UNHRC kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu S. Kusini

    UNHRC kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu S. Kusini

    Mar 24, 2016 03:45

    Umoja wa Mataifa utaanza kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu Sudan Kusini.

  • WFP latahadharisha kuhusiana na uhaba wa chakula nchini Yemen

    WFP latahadharisha kuhusiana na uhaba wa chakula nchini Yemen

    Mar 23, 2016 21:23

    Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP limetahadharisha kuhusiana na uhaba mkubwa wa chakula unaoikabili nchi ya Yemen.

  • Kukosolewa siasa za Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen

    Kukosolewa siasa za Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Yemen

    Mar 23, 2016 10:32

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imekosoa siasa zinazotekelezwa na Mjumbe wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na mgogoro wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS