-
Sherehe za Nairuzi katika Umoja wa Mataifa
Mar 22, 2016 02:32Sherehe za kuadhimisha siku kuu ya Nairuzi (Nowruz) zimefanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu wa umoja huo.
-
Afisa mkuu wa UN ajiuzulu kutokana na jinai za Israel
Mar 21, 2016 11:42Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya haki za binadamu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, kutokana na kile alichokitaja kuwa ukosefu wa ushirikiano wa utawala wa kizayuni wa Israel.
-
UN yapasisha azimio la kuwarejesha nyumbani askari wake ‘wabakaji’
Mar 12, 2016 11:49Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio linalotaka kurejeshwa nyumbani kikosi cha kulinda amani cha umoja huo, ambacho askari wake wanatuhumiwa kuhusika na vitendo vya ubakaji.
-
Ripoti ya Ahmad Shahidi; ni ripoti yenye malengo ya kisiasa
Mar 12, 2016 10:15Ahmad Shahid Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amekariri tena ripoti yake ya kila mwaka kuhusu Iran.
-
UN yaitaka Guinea-Bissau kuheshimu sheria
Mar 08, 2016 11:04Ujumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa umewataka viongozi wa kisiasa nchini Guinea-Bissau kuheshimu sheria.
-
Maelfu ya raia wa Sudan Kusini wakimbilia nchini Kongo
Mar 05, 2016 22:24Maelfu ya raia wa Sudan Kusini wamekimbilia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufuatia kujiri machafuko kupita kiasi nchini humo.
-
Ripoti: Walinda amani wa UN kutoka nchi 21 wahusishwa na kashfa ya ngono
Mar 04, 2016 04:20Umoja wa Mataifa unakabiliwa na hali ngumu inayotishia kuondoa imani ya watu duniani kwa walinda amani wa umoja huo.
-
Sisitizo juu ya ulazima wa kuundwa haraka iwezekanavyo serikali ya umoja wa kitaifa Libya
Mar 03, 2016 09:42Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Libya amesisitiza juu ya ulazima wa kuundwa haraka serikali ya umoja wa kitaifa huko Libya.
-
UN: 50,000 wameuawa katika mapigano ya Sudan Kusini tangu 2013
Mar 03, 2016 09:39Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya 50,000 wameuawa katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan Kusini katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
-
Askari wa UN waanza tena kushirikiana na askari wa Congo
Mar 03, 2016 04:52Askari wa kulinda amani na Umoja wa Mataifa wataanza tena kushirikiana na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika maenero yenye ghasia na machafuko mashariki mwa nchi hiyo.