Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Mwanadiplomasia wa UN akosoa idadi ndogo ya wanawake katika bunge la Liberia

    Mwanadiplomasia wa UN akosoa idadi ndogo ya wanawake katika bunge la Liberia

    Mar 02, 2016 10:41

    Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuwashughulikia wanawake (UN Women) amekosoa idadi ndogo ya wanawake katika bunge la Liberia na kusema ni muhali kwa sauti za wanawake kusikika vyema kutokana na uwakilishi wao mdogo bungeni.

  • Wasiwasi kuhusiana na kutiwa nguvuni wapinzani wa serikali ya DRC

    Wasiwasi kuhusiana na kutiwa nguvuni wapinzani wa serikali ya DRC

    Feb 26, 2016 23:33

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema anatiwa wasiwasi na kutiwa nguvuni baadhi ya wapinzani wa kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na mbinyo wa kisiasa unaoshuhudiwa nchini humo.

  • UN: Kuna ushahidi wa jinai za kivita Libya

    UN: Kuna ushahidi wa jinai za kivita Libya

    Feb 26, 2016 12:46

    Umoja wa Mataifa umesema wahusika wote katika mgogoro wa Libya wametenda jina za kivita pamoja na ukiukaji mwingine wa haki za binadamu katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.

  • Ban Ki-Moon awasili Burundi, kukutana na Nkurunziza

    Ban Ki-Moon awasili Burundi, kukutana na Nkurunziza

    Feb 23, 2016 04:24

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewasili nchini Burundi katika kile kinachoonekana ni kujaribu kuupatia ufumbuzi mzozo wa kisiasa wa nchi hiyo.

  • UN yalaani mauaji ya wakimbizi Sudan Kusini

    UN yalaani mauaji ya wakimbizi Sudan Kusini

    Feb 19, 2016 00:08

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali mauaji ya yaliyotokea katika mojawapo ya vituo vya askari wa kulinda amani wa umoja huo huko Sudan Kusini.

  • Askari wa UN waliwanajisi watoto CAR

    Askari wa UN waliwanajisi watoto CAR

    Feb 17, 2016 03:36

    Askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekuwa wakiwadhalilisha kijinsia watoto wanne wanaoishi katika kambi ya wakimbizi huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Katibu Mkuu wa zamani wa UN afariki dunia

    Katibu Mkuu wa zamani wa UN afariki dunia

    Feb 17, 2016 00:06

    Mwanasiasa wa Misri Boutros Boutros-Ghali aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuanzia mwaka 1992 hadi 1996 amefariki dunia.

  • UN yachunguza tuhuma za ubakaji za askari wake CAR

    UN yachunguza tuhuma za ubakaji za askari wake CAR

    Feb 16, 2016 11:30

    Maafisa wa Umoja wa Mataifa wamesema kuwa wameanza uchunguzi kuhusu tuhuma mpya zinazowakabili askari wa kulinda amani wa umoja huo katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Saudi Arabia yasisitiza kuondolewa haraka Yemen  misaada ya kimataifa

    Saudi Arabia yasisitiza kuondolewa haraka Yemen misaada ya kimataifa

    Feb 14, 2016 09:53

    Saudi Arabia imewataka wafanyakazi wa huduma za misaada ya kimataifa kuondoka haraka iwezekakavyo huko Yemen lengo likiwa ni kuzidisha mgogoro wa kibinadamu nchini humo.

  • Walinda amani wawili wa UN wauawa Mali

    Walinda amani wawili wa UN wauawa Mali

    Feb 12, 2016 11:50

    Askari wawili wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wameuawa katika hujuma ya kigaidi kaskazini mwa Mali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS