Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Pendekezo la Ufaransa kwa Baraza la Usalama kuhusu utatuzi wa mgogoro wa Burundi

    Pendekezo la Ufaransa kwa Baraza la Usalama kuhusu utatuzi wa mgogoro wa Burundi

    Feb 11, 2016 11:38

    Mwakilishi wa Kudumu wa Ufaransa katika Umoja wa Mataifa amewataka wanachama wa Baraza la Usalama la umoja huo kubuni mbinu mpya za kutatua mgogoro wa Burundi.

  • UN: Wahutu 21 wameuawa katika mapigano nchini DRC

    UN: Wahutu 21 wameuawa katika mapigano nchini DRC

    Feb 09, 2016 11:28

    Umoja wa Mataifa umesema kwa akali watu 21 wameuawa na wengine zaidi ya 40 wamejeruhiwa katika mapigano yaliyolenga waasi wa Kihutu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwishoni mwa wiki iliyopita.

  • Israel yatiwa kiwewe na msimamo wa UN kuwatetea Wapalestina

    Israel yatiwa kiwewe na msimamo wa UN kuwatetea Wapalestina

    Feb 09, 2016 11:24

    Utawala wa kizayuni wa Israel umetiwa kiwewe na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni ya Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya kuwatetea Wapalestina ambao ardhi zao zinakaliwa kwa mabavu na Wazayuni maghasibu.

  • UN: Hali ya watu wa Darfur inatia wasiwasi

    UN: Hali ya watu wa Darfur inatia wasiwasi

    Feb 08, 2016 04:04

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa makumi ya maelfu ya raia waliokimbia mapigano makali yanayoendelea kati ya jeshi la serikali ya Sudan na waasi wa eneo la Jabal al Murrah huko magharibi mwa Darfur wanaishi katika hali inayovunja moyo na kuhuzunisha.

  • Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu hali hatari ya Ukanda wa Ghaza

    Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu hali hatari ya Ukanda wa Ghaza

    Feb 07, 2016 00:11

    Ripoti mbalimbali kuhusu Ghaza zinabainisha kuwa eneo hilo linakabiliwa na hali mbaya kutokana na kusuasua zoezi la kukarabati uharibifu uliosababishwa na jinai kubwa za utawala wa Kizayuni hususan katika vita vitatu vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni huko Ghaza.

  • Tuhuma mpya dhidi ya askari wa kulinda amani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Tuhuma mpya dhidi ya askari wa kulinda amani katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Feb 05, 2016 10:37

    Umoja wa Mataifa umetangaza kutolewa tuhuma mpya dhidi ya askari wake wanaohudumu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Kuendelea mashambulizi dhidi ya Yemen na uwezekano mdogo wa kufanyika mazungumzo ya amani

    Kuendelea mashambulizi dhidi ya Yemen na uwezekano mdogo wa kufanyika mazungumzo ya amani

    Feb 05, 2016 03:41

    Huku mapigano katika maeneo tofauti ya Yemen yakipamba moto, Saudi Arabia imeendelea kukwamisha juhudi za kidiplomasia za kuutatua kisiasa mgogoro huo, suala ambalo limewafanya wanadiplomasia wa Umoja wa Mataifa kusema kuwa, ni jambo lililo mbali kufikiria kufanyika mazungumzo hayo katika siku za hivi karibuni.

  • Katibu Mkuu wa UN: Viongozi wa Afrika msing'ang'anie madaraka

    Katibu Mkuu wa UN: Viongozi wa Afrika msing'ang'anie madaraka

    Jan 31, 2016 04:02

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amewaambia viongozi wa Afrika kuwa haipasi kutumia mianya ya kisheria au mabadiliko ya Katiba yasiyo ya kidemokrasia ili "kung'ang'ania madaraka", na kwamba wanapaswa kuheshimu kikomo cha muhula wa kubakia madarakani.

  • Israel haina budi kuangamiza silaha zake za nyuklia

    Israel haina budi kuangamiza silaha zake za nyuklia

    Jan 29, 2016 12:00

    Afisa mwandamizi wa Umoja wa Mataifa amesema utawala haramu wa Israel sasa hauna kisingizio cha kutotia saini Mkataba wa Kupiga Marufuku Kikamilifu Majaribio ya Silaha za Nyuklia (CTBT) baada ya mapatano ya nyuklia baina ya Iran na nchi za Magharibi.

  • Kuakhirishwa duru ya pili ya uchaguzi wa Rais wa CAR

    Kuakhirishwa duru ya pili ya uchaguzi wa Rais wa CAR

    Jan 28, 2016 11:32

    Duru ya mwisho ya uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ambayo ilipangwa kufanyika tarehe 31 mwezi huu imeakhirishwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS