-
"Kutokomeza umaskini miongoni mwa wanawake kutachukua miaka 130"
Mar 08, 2025 07:00Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameashiria matatizo yanayoendelea kuwakabili wanawake na wasichana duniani kote, akionya kwamba "kutokomeza umaskini uliokithiri miongoni mwa wanawake na wasichana kutachukua miaka 130."
-
Elon Musk aunga mkono kujiondoa Marekani katika UN, NATO
Mar 02, 2025 12:25Bilionea Elon Musk ametangaza hadharani kuunga mkono wazo la Marekani kujiondoa kutoka Umoja wa Mataifa UN na Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO.
-
UN: Israel inakanyaga haki za binadamu Gaza, Ukingo wa Magharibi
Feb 27, 2025 11:01Mkuu wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Israel umekuwa ukipuuza usio na kifani haki za binadamu" katika Ukanda wa Gaza, na kuitaja hali ya kibinadamu katika eneo hilo lililozingirwa kuwa "janga."
-
Iran yataka kuwepo uadilifu, kuheshimiana na amani ya kimataifa
Feb 26, 2025 06:41Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva amesisitiza dhamira ya Jamhuri ya Kiislamu ya kuunga mkono ulimwengu wa pande kadhaa, sheria za kimataifa na kanuni za Mkataba wa Umoja wa Mataifa na kutoa wito wa kuwepo ulimwengu unaozingatia uadilifu, heshima na amani.
-
UN: Inahitajika zaidi ya nusu karne kuufufua uchumi wa Syria urejee kwenye hali ya kabla ya vita
Feb 22, 2025 03:02Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa Syria inahitaji muda wa zaidi ya nusu karne ili kurejea kwenye hali yake ya uchumi ya kabla ya vita angamizi vya ndani ya nchi hiyo.
-
UN yalaani mashambulizi ya Israel katika Ukingo wa Magharibi
Feb 16, 2025 07:52Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (OHCHR) imelaani mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Israel katika eneo la Ukingo wa Magharibi na kuutaka utawala huo kusitisha mara moja "wimbi la tahadhari ya machafuko na ukimbizi wa umati'' kwa raia wa Palestina.
-
Iran yamweleza Guterres: UN ichukue msimamo thabiti kuhusu njama ya Trump dhidi ya Palestina
Feb 11, 2025 02:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi amesema Umoja wa Mataifa, hasa Baraza lake la Usalama, lazima uchukue msimamo "imara na wa wazi" dhidi ya mpango wa Marekani na Israel unaolenga kuwaondoa kwa nguvu Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza.
-
WHO yajibu tuhuma za US: Hatuegemei upande wa nchi yoyote mwanachama, tunazingatia sayansi
Feb 04, 2025 10:32Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesisitiza kuwa shirika hilo haliegemei upande wa nchi yoyote mwanachama na kwamba limeanzishwa kwa ajili ya kuhudumia nchi zote na watu wote.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa la kutiwa mbaroni Benjamin Netanyahu
Jan 14, 2025 10:28Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Francesca Albanese ametoa wito wa kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo atazuru Poland, na kusema kuwa Warsaw lazima ifuate kanuni za haki za kimataifa.
-
Ripota Maalumu wa UN: Poland inapaswa kumkamata Netanyahu
Jan 11, 2025 06:42Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, Francesca Albanese ametoa wito wa kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo atazuru Poland, na kusema kuwa Warsaw lazima ifuate kanuni za haki za kimataifa.