-
UN yatiwa wasiwasi na hali ya kiafya na kimatibabu ya Ukanda wa Gaza
Jan 03, 2025 12:04Wataalamu hao wa Umoja wa Mataifa wataka kukomeshwa upuuaji wa waziwazi' haki ya haki ya kiafya huko Gaza baada ya utawala wa Kizayuni wiki iliyopita kuishambulia Hospitali ya Kamal Adwan katika eneo hilo na kumtia nguvuni kihilela na kumuweka kizuizini Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dakta Hussam Abu Safiya.
-
Katika salamu za mwaka mpya, Katibu Mkuu wa UN asema: Tunaweza kuifanya 2025 kuwa mwanzo mpya
Dec 31, 2024 03:37Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, ilikuwa vigumu sana kupata matumaini mwaka 2024, lakini akaongeza kuwa, tunaweza kuugeuza mwaka 2025 kuwa mwanzo mpya si wa ulimwengu usio na usawa na uliogawanyika, lakini ulimwengu ambao ndani yake mataifa yameungana pamoja.
-
Afghanistan: Pakistan imefanya mashambulio ya anga, yameua na kujeruhi raia wengi wakiwemo watoto
Dec 25, 2024 06:53Afghanistan imetangaza kuwa jeshi la Pakistan limefanya mashambulizi ya anga katika jimbo la Paktika mashariki, na kuua na kuwajeruhi raia kadhaa, "wengi wao wakiwa wakimbizi kutoka Waziristan."
-
Afisa wa UN: Ni vigumu kupeleka misaada Gaza
Dec 25, 2024 03:35Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa imekuwa vigumu kufikisha hata msaada mdogo kwa raia wa Palestina huko Ukanda wa Gaza.
-
Mkutano wa UN kuhusu kuenea majangwa duniani umeanza Riyadh, Saudi Arabia
Dec 03, 2024 12:21Wazungumzaji katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na kuenea majangwa duniani COP16 unaoendelea nchini Saudi Arabia wametahadharisha kuwa hatua zinapasa kuchukuliwa ili kulinda uhai duniani.
-
Libya yataka kufutwa uanachama wa utawala wa Israel katika Umoja wa Mataifa
Dec 03, 2024 12:15Libya imetaka kufutwa uanachama wa utawala wa Kizayuni katika Umoja wa Mataifa na kuhuishwa sura ya saba ya Hati ya Baraza la Usalama dhidi ya utawala huo unaotekeleza mauaji ya kimbari.
-
Australia yaweka historia, yapitisha sheria ya marufuku kwa watoto kutumia mitandao ya kijamii
Nov 30, 2024 02:48Seneti ya Australia imepitisha sheria za kupiga marufuku watoto na vijana wadogo kutumia mitandao ya kijamii, ukiwa ni uamuzi wa kwanza wa aina yake kuchukuliwa na serikali yoyote ulimwenguni.
-
Iran: Ni muhimu kuwepo mshikamano wa kimataifa kwa ajili ya kuwahami wanawake na watoto wa Gaza na Lebanon
Nov 20, 2024 11:43Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya wanawake na familia amesisitiza umuhimu wa mshikamano wa kimataifa kwa ajili ya kuwahami na kuwasaidia wanawake na watoto wa Gaza na Lebanon.
-
UNRWA: Hakuna taasisi yoyote inayoweza kujaza nafasi yetu Ghaza
Nov 19, 2024 11:10Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema kuwa, hakuna taasisi yoyote inayoweza kujaza nafasi ya shirika hilo katika kuwahudumia na kuwafikishia misaada wakazi wa Ghaza.
-
Kupasishwa azimio jipya la Umoja wa Mataifa la kuwaunga mkono Wapalestina
Nov 16, 2024 12:00Kamati ya Haki za Binadamu na Masuala ya Kibinadamu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepasisha azimio na kusisitiza kuwa wananchi wa Palestina wana haki ya kujiainishia mustakbali wao katika ardhi za Palestina, na kwamba wana haki ya kuwa huru, kujitawala na kujikomboa haraka kutoka katika makucha ya ukaliaji mabavu wa utawala wa Kizayuni.