-
Watoto 50 ni kati ya watu 84 waliouawa katika 'mauaji ya halaiki ya kikatili' iliyofanya Israel Ghaza
Nov 02, 2024 07:20Wapalestina 84 wakiwemo watoto zaidi ya 50 wameuliwa shahidi katika mashambulizi mawili ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya majengo ya makazi ya raia kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Katibu Mkuu wa UN: Dunia ichukue msimamo madhubuti dhidi ya mauaji ya kimbari huko Gaza
Nov 01, 2024 02:42Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuwepo msimamo mkali wa kimataifa dhidi ya mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
UN: Vita vya Sudan vimesababisha watu milioni 14 kuwa wakimbizi
Oct 30, 2024 03:28Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, vita vya zaidi ya mwaka mmoja na nusu huko Sudan vimepelekea watu zaidi ya milioni 14 kuwa wakimbizi ndani na nje ya nchi.
-
Shambulio kubwa lililofanywa na Israel bila ya onyo lolote laua Wapalestina 81 Ghaza
Oct 20, 2024 06:45Wapalestina wasiopungua 81 wameuawa shahidi katika shambulizi la kinyama lililofanywa na jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye mji wa Beit Lahiya kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
UN: Sheria za kimataifa zinaitaka Israel kukomesha uvamizi huko Ukanda wa Gaza
Oct 19, 2024 08:02Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, nchi zote na mashirika ya kimataifa yana wajibu wa kukomesha uwepo haramu wa Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
UN: Kuwahamisha kwa mabavu raia kaskazini mwa Gaza ni jinai ya kivita
Oct 19, 2024 03:05Kamishna wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa kitendo chochote cha kuwahamisha kwa nguvu raia wengi huko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza ni jinai ya kivita.
-
UN: Watu bilioni 1 wanaishi katika umaskini wa kupindukia
Oct 18, 2024 02:51Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, zaidi ya watu bilioni moja wanaishi katika umaskini mkubwa, na karibu nusu yao wapo katika nchi zinazokumbwa na migogoro.
-
Balozi: Nchi 18 zimejiunga na kesi ya Afrika Kusini ICJ dhidi ya Israel
Oct 08, 2024 11:41Balozi wa Afrika Kusini mjini Tehran, Dakta Francis Moloi, ameashiria kuongezeka kwa uungaji mkono wa kimataifa kwa kesi ya mauaji ya kimbari ya Gaza dhidi ya Israel, akieleza kuwa kufikia sasa nchi 18 zimejiunga na kesi hiyo katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ.
-
Iran yakosoa 'hujuma' ya Israel dhidi ya Katibu Mkuu wa UN
Oct 04, 2024 07:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali hatua ya karibuni ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres.
-
Iran yauandikia barua muhimu Umoja wa Mataifa na kutoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 02, 2024 09:07Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemwandikia barua Katibu Mkuu na Rais wa Baraza la Usalama la umoja huo kufuatia operesheni ya makombora iliyofanywa na Iran, na kusisitiza kuwa, endapo utawala wa Israel utarudia tena vitendo vyake vinavyokiuka sheria za kimataifa, jibu litakalotolewa tena na Iran litakuwa la haraka, madhubiti na kali zaidi kuliko lililiotangulia.