Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Tume ya UN yawasilisha ripoti ya jinai za kivita zilizofanywa na Ukraine

    Tume ya UN yawasilisha ripoti ya jinai za kivita zilizofanywa na Ukraine

    Oct 19, 2022 07:05

    Tume ya Umoja wa Mataifa inayofuatilia haki za binadamu imerekodi kwa uchache kesi mbili za uhalifu wa kivita uliofanywa na jeshi la Ukraine katika mzozo wa nchi hiyo na jeshi la Russia.

  • Guterres: Hali ya mambo Ethiopia huenda isidhibitike tena

    Guterres: Hali ya mambo Ethiopia huenda isidhibitike tena

    Oct 18, 2022 04:05

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu hali ya mambo nchini Ethiopia na kutoa mwito kwa pande hasimu katika mgogoro wa eneo la Tigray la kaskazini mwa nchi kuhitimisha mvutano na uhasama baina yao.

  • AU na UN: Sasa kila mtu mmoja kati ya watano Afrika anakabiliwa na njaa

    AU na UN: Sasa kila mtu mmoja kati ya watano Afrika anakabiliwa na njaa

    Oct 13, 2022 04:28

    Takwimu za karibuni kabisa zinaonyesha kuwa, mtu mmoja kati ya kila watu watano barani Afrika anakabiliwa na njaa, huku uhaba wa chakula na utapiamlo ukiongezeka katika bara hilo. Hayo ni kwa mujibu wa maafisa wa Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Mataifa.

  • UN yakataa kuzitambua kura za maoni za kuyaunganisha na Russia maeneo ya Ukraine

    UN yakataa kuzitambua kura za maoni za kuyaunganisha na Russia maeneo ya Ukraine

    Oct 13, 2022 04:21

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha azimio la nne tangu vilipoanza vita kati ya Russia na Ukraine ambapo limekataa kutambua kura za maoni za kuyaunganisha na Russia maeneo kadhaa ya ardhi ya Ukraine.

  • Ujumbe wa UN Libya walaani mauaji ya kutisha ya wahamiaji, Sabratha

    Ujumbe wa UN Libya walaani mauaji ya kutisha ya wahamiaji, Sabratha

    Oct 10, 2022 07:07

    Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) umelaani mauaji ya kutisha waliyofanyiwa wahamiaji na watafuta hifadhi wasiopungua 15 katika mji wa Sabratha magharibi mwa Libya. Ujumbe huo wa Umoja wa Mataifa umetaka kufikishwa mbele ya vyombo vya shera wahusika wa mauaji hayo.

  • UN: Kuna ubaguzi wa rangi wa kimfumo dhidi ya watu weusi nchini Uswisi

    UN: Kuna ubaguzi wa rangi wa kimfumo dhidi ya watu weusi nchini Uswisi

    Oct 05, 2022 03:41

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa imetangaza kuwepo kwa ubaguzi wa kimfumo nchini Uswisi hususan dhidi ya watu weusi wenye asili ya Afrika.

  • Raisi: Kuwaachia huru wafungwa wa Marekani ni ithibati ya nia njema ya Iran

    Raisi: Kuwaachia huru wafungwa wa Marekani ni ithibati ya nia njema ya Iran

    Oct 04, 2022 04:33

    Rais wa Iran amesema hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya kuwaachia huru wafungwa wawili wa Marekani wenye asili ya Iran inaonesha wazi nia njema ya taifa hili, na azma yake ya kutatua matatizo kwa njia ya mashauriano.

  • Indhari ya Umoja wa Mataifa kwa wanamgambo wa Taliban

    Indhari ya Umoja wa Mataifa kwa wanamgambo wa Taliban

    Oct 01, 2022 00:34

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Afghanistan (UNAMA) amekosoa vikali hatua ya wanamgambo wa Taliban wanaotawala nchini humo ya kutochukua hatua kuboresha haki za watu katika nchi hiyo hususan ya mabanati na wanawake na kuonya kuwa, yamkini subira ya jamii ya kimataiifa kuhusiana na utendaji wa wanamgambo hao ikafikia kikomo.

  • Israel yapuuza azimio la UN la kusitisha ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Israel yapuuza azimio la UN la kusitisha ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Sep 29, 2022 08:36

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Mashariki ya Kati amesema Israel inaendelea kupuuza azimio la mwaka 2016 la Baraza la Usalama la UN, linaloutaka utawala huo wa Kizayuni usitishe ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Umoja wa Mataifa waeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya Ukingo wa Magharibi

    Umoja wa Mataifa waeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya Ukingo wa Magharibi

    Sep 17, 2022 07:26

    Mratibu Maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa Ajili ya Amani Mashariki ya Kati amelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya Ukingo wa Magharibi huko Palestina inayokaliwa kwsa mabavu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS