-
Ansarullah: Chaguo la kijeshi haliwezi kuleta amani Yemen na katika eneo
Oct 29, 2019 03:51Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameonya kuhusu uvamizi na mashambulizi yanayofanywa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa, chaguo la kijeshi katu haliwezi kurejesha amani nchini Yemen na katika eneo.
-
Katibu Mkuu wa UN azitaka serikali zishughulikie matakwa ya wananchi wao
Oct 26, 2019 04:12Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuachwa vitendo vya utumiaji mabavu na machafuko katika mikusanyiko na maandamano, na kuzitaka serikali ziyashughulikie matatizo halisi waliyonayo wananachi wao.
-
UN: Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya
Oct 12, 2019 04:27Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya kufikia sasa.
-
Kukosolewa ukwamishaji wa Marekani wa safari za wawakilishi wa nchi mbalimbali kuelekea Umoja wa Mataifa
Oct 10, 2019 03:02Kwa kuzingatia kuwa, makao makuu ya Umoja wa Mataifa yapo mjini New York, siku zote Marekani imekuwa ikilitumia suala la kutoa visa kwa jumbe na washiriki wa mikutano na vikao vya Umoja wa Mataifa kama wenzo wa kuzishinikiza nchi zinazoipinga na zisizokubaliana na siasa zake.
-
UN: Myanmar sio salama kwa Waislamu Warohingya kurejea
Oct 05, 2019 08:53Mchunguzi huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu Myanmar amesema mamia ya maelfu ya Waislamu wa jamii ya Rohingya waliorejea mkoani Rakhine wakitokea Bangladesh wanakandamizwa na kuandamwa na kila aina ya dhuluma na kwa msingi huo, Myanmar sio salama kwa Warohingya zaidi kurejea.
-
Ukosoaji mkali wa Sergey Lavrov kuhusiana na miamala haribifu ya Marekani dhidi ya mapatano ya JCPO na Ghuba ya Uajemi
Sep 29, 2019 23:06Hatua zilizo kinyume cha sheria za Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka jana na kisha kuiwekea Iran vikwazo vikali ambavyo vilikuwa havijawahi kushuhudiwa tena huko nyuma, na baada ya hapo kuzidisha uwepo wake wa kijeshi katika Ghuba ya Uajemi ambao umeshadidisha mizozo katika eneo hilo la kistratijia, ni mambo ambayo yameizidishia wasi wasi serikali ya Russia.
-
Rais Rouhani akosoa kimya cha Umoja wa Mataifa kuhusu ugaidi wa kiuchumi Marekani dhidi ya Iran
Sep 26, 2019 01:24Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres na kukosoa kimya cha umoja huo mbele ya ugaidi wa kiuchumi wa serikali ya Marekani dhidi ya taifa la Iran.
-
Rais Rouhani: Katu hatutofanya mazungumzo na adui chini ya vikwazo
Sep 25, 2019 12:52Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ni jambo lisiloyumkinika kwa taifa hili kufanya mazungumzo na adui likiwa chini ya mashinikizo na vikwazo vya kidhalimu na vilivyo kinyume cha sheria.
-
Zarif na Mogherini wajadili njia za kuinusuru JCPOA
Sep 24, 2019 04:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javaad Zarif amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Federica Mogherini na wawili hao wamejadili njia za kulinda na kudumisha makubaliano ya JCPOA.
-
Maandamano dhidi ya Trump New York kabla ya mkutano wa UNGA
Sep 24, 2019 04:25Maandamano makubwa dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani yameshuhudiwa mjini New York usiku wa kuamkia leo, masaa machache kabla ya kuanza mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini humo.