-
Hofu ya UN kuhusu kushtadi migogoro katika majimbo ya Somalia
Jul 09, 2019 03:52Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi wake kuhusu kuongezeka migogoro na mivutano baina ya majimbo yenye mamlaka ya ndani nchini Somalia kwa upande mmoja, na majimbo hayo na serikali kuu ya Mogadishu kwa upande mwingine.
-
Jeshi la Sudan Kusini lakanusha madai ya UN kuwa limeua raia
Jul 04, 2019 21:56Jeshi la Sudan Kusini limekanusha vikali madai ya Umoja wa Mataifa kwamba limeua makumi ya raia wa nchi hiyo katika eneo la Central Equatoria.
-
Marekani yakwamisha azimio la Baraza la Usalama kuhusu mauaji ya wahajiri Libya
Jul 04, 2019 03:02Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilimaliza kikao chake cha faragha jana jioni kwa wakati wa New York kuhusiana na Libya bila ya kuafikiana mwafaka kuhusu shambulizi la anga lililolenga makazi ya wahajiri katika eneo la Tajoura huko mashariki mwa Tripoli ambalo limeua wakimbizi 60 na kujeruhi wengine zaidi ya 130.
-
UN: Mkutano ujao wa G20 usifanyike Saudia kutokana na mauaji ya Khashoggi
Jul 03, 2019 03:06Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa ameyataka madola yenye nguvu kuangalia upya suala la Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa mkutano ujao wa Kundi G20.
-
Lavrov na afisa wa UN wasisitiza ulazima wa kuhitimishwa mzozo wa Yemen
Jul 02, 2019 07:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia na Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen wamesisitiza ulazima wa kufanyika juhudi ili kuhitimisha hali ya mgogoro huko Yemen..
-
Syria yaushtaki utawala wa Kizayuni wa Israel Umoja wa Mataifa
Jul 02, 2019 03:14Syria imemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Baraza la Usalama la Umoja huo ikilaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya nchi hiyo na kusema uchokozi huo ni sehemu ya njama za Tel Aviv za kutaka kurefusha mgogoro nchini Syria.
-
Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu UN: Muamala wa Karne utashindwa na kugonga ukuta
Jun 29, 2019 23:46Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amesema kuwa, mpango wa Kimarekani-Kizayuni wa "Muamala wa Karne" utashindwa na kugonga ukuta.
-
UN: Watoto 7500 wa Kiyemeni wameuawa au kupata ulemavu
Jun 29, 2019 12:33Umoja wa Mataifa umeashiria hali mbaya ya kibinadamu inayoikabili Yemen hivi sasa na kueleza kuwa watoto zaidi ya 7,500 wameuawa au kujeruhiwa nchini humo.
-
UN yalitaka jeshi la Sudan liache kukandamiza wananchi
Jun 24, 2019 22:47Kamishna Mkuu ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa amewataka wanajeshi wa Sudan waache mara moja kuwakandamiza raia.
-
Katibu Mkuu wa UN: Iran ingali imefungamana na JCPOA
Jun 21, 2019 06:59Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.