-
UN: Vita vimewafanya watu milioni 71 duniani kuwa wakimbizi
Jun 19, 2019 03:09Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema takriban watu milioni 71 wamelazimika kuwa wakimbizi kutokana na vita na mapigano katika kona mbalimbali za dunia.
-
Mtaalamu wa UN aondoka Comoro baada ya kuzuiwa kufanya kazi
Jun 18, 2019 22:09Mtaalamu maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu utesaji, Nils Melzer, amesitisha ziara yake aliyokuwa afanye Comoro, baada ya kukumbwa na vizuizi kadhaa.
-
UN: Raia 42 wameuawa katika mapigano nchini Libya
Jun 15, 2019 08:01Umoja wa Mataifa umesema mapigano baina ya vikosi vya kamanda muasi wa Libya, Jenerali Khalifa Haftar na Fayez al-Sarraj, Waziri Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa inayoungwa mkono na jamii ya kimataifa katika mji mkuu Tripoli yamesababisha vifo vya raia 42, huku wengine zaidi ya 120 wakijeruhiwa.
-
Guterres ataka uchunguzi huru wa kushambuliwa meli za mafuta Bahari ya Oman
Jun 15, 2019 03:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi huru wa tukio la kushabuliwa meli za mafuta katika Bahari ya Oman.
-
UN: 60% ya wananchi wa Sudan Kusini wanakabiliwa na baa la njaa
Jun 15, 2019 03:28Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema jumla ya watu milioni 7 sawa na asilimia 60 ya jamii nzima ya Sudan Kusini wanakabiliwa na baa la njaa.
-
UN: Idadi ya waliouawa Darfur nchini Sudan ni watu 17
Jun 13, 2019 21:58Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa kwa akali watu 17 wameuawa katika kijiji cha Deleij katikati mwa jimbo la Darfur, magharibi mwa Sudan.
-
Tunisia na Niger zachaguliwa kuwa wanachama wa Baraza la Usalama
Jun 08, 2019 02:26Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Ijumaa lilizichagua nchi tano wanachama wa umoja huo kuwa wanachama wasio wa kudumu kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuanzia mwezi Januari mwakani.
-
UN yapuuzilia mbali mkutano wa Manama wa kujadili mpango wa "Muamala wa Karne"
May 31, 2019 03:43Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa hautashiriki katika mkutano wa Kiuchumi uliopangwa kufanyika Manama mji mkuu wa Bahrain khususan kujadili mpango kwa jina la "Muamala wa Karne."
-
Onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu hatari ya kutumika silaha za nyuklia
May 24, 2019 02:35Kuwepo maghala ya silaha hatari za nyuklia katika pembe tofauti za dunia, kuongezwa na kuimarishwa silaha hizo na vilevile kujiunga nchi mpya na kundi la nchi zinazomiliki silaha hizo ni jambo linalohatarisha amani na uslama wa dunia.
-
UN yamteua afisa kupambana na Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
May 23, 2019 06:47Umoja wa Mataifa umemteuwa Mratibu wa Hatua za Dharura za Kukabiliana na Maradhi ya Ebola ambaye atasaidia kuimarisha jitihada za kukomesha kuenea maradhi ya Ebola yaliyodumu kwa miezi kumi sasa huko Kongo DRC na kuua watu zaidi ya 1,200.