Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Umoja wa Mataifa

  • Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali inavyozidi kuwa mbaya nchini Libya

    Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali inavyozidi kuwa mbaya nchini Libya

    May 23, 2019 03:43

    Kuendelea vita nchini Libya kumezidisha machafuko na mgogoro katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kiasi kwamba Ghassan Salamé, mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema katika ripoti yake ya hivi karibuni kabisa kwamba, hatoi tahadhari kuhusu kutokea vita vya ndani na vya umwagaji damu tu, bali anatoa onyo la kusambaratika vipande vipande Libya.

  • Libya katika ncha ya kutumbukia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe

    Libya katika ncha ya kutumbukia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe

    May 22, 2019 03:26

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ameonya kuwa, taifa hilo lenye utajiri wa mafuta liko katika ncha ya kutumbukia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo vitaigawa nchi hiyo mapande mapande.

  • UN: Kuna uwezekano mkubwa wakati huu wa kutumika silaha za nyuklia

    UN: Kuna uwezekano mkubwa wakati huu wa kutumika silaha za nyuklia

    May 22, 2019 02:00

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Umoja wa Mataifa ya Utafiti wa Upokonyaji Silaha UNIDIR amesema hatari na uwezekano wa kutumika silaha za nyuklia duniani hii leo uko juu kuliko wakati mwingine wowote ule.

  • UN: Somalia imepiga hatua, lakini ipambane na ugaidi na ufisadi

    UN: Somalia imepiga hatua, lakini ipambane na ugaidi na ufisadi

    May 21, 2019 23:09

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema Somalia imepiga hatua kuelekea katika uundwaji wa dola thabiti, lakini bado ina kibarua cha kupambana na ugaidi, misimamo mikali ya kuchupa mipaka na ufisadi.

  • UN yaitaka dunia isitishe uhusiano wa kifedha na jeshi la Myanmar

    UN yaitaka dunia isitishe uhusiano wa kifedha na jeshi la Myanmar

    May 14, 2019 07:12

    Timu ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imezitaka nchi za dunia kusitisha miamala ya kifedha na jeshi la Myanmar linaloendelea kuua Waislamu wa jamii ya Rohingya katika mkoa wa Rakhine.

  • Guterres akutana na waathiriwa wa shambulizi la kigaidi la New Zealand

    Guterres akutana na waathiriwa wa shambulizi la kigaidi la New Zealand

    May 14, 2019 03:19

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametadharisha kuwa, matamshi ya chuki na kibaguzi yanaenea kwa kasi ya kutisha mitandaoni, na kusisitiza kuwa UN itaongoza jitihada za kupambana na tatizo hilo.

  • UN: Wapalestina 1,700 wa Gaza katika hatari ya kukatwa miguu

    UN: Wapalestina 1,700 wa Gaza katika hatari ya kukatwa miguu

    May 09, 2019 08:03

    Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) imeeleza wasiwasi mkubwa ilionao kutokana na kuzidi kuwa mbaya hali ya kibinadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, na kubainisha kuwa mamia ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wako katika hatari ya kusababishiwa ulemavu wa maisha kutokana na majeraha ya risasi za jeshi katili la utawala wa Kizayuni.

  • UN: Yumkini Imarati imehusika katika mashambulizi ya Libya

    UN: Yumkini Imarati imehusika katika mashambulizi ya Libya

    May 07, 2019 03:26

    Jopo la Wataalamu wa Umoja wa Mataifa linatathmini mashambulizi ya makombora dhidi ya mji mkuu wa Libya, Tripoli, sanjari na kuchunguza uwezekano wa kutumika ndege zisizo na rubani 'drone' za Umoja wa Falme za Kiarabu katika hujuma hizo.

  • UN yatoa mwito wa kusitishwa mapigano kwa muda nchini Libya

    UN yatoa mwito wa kusitishwa mapigano kwa muda nchini Libya

    May 06, 2019 06:40

    Kikosi cha Kusimamia Amani cha Umoja wa Mataifa nchini Libya UNSMIL kimezitaka pande husika kusitisha mapigano kwa muda wa wiki moja kuanzia leo Jumatatu, katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.

  • Iran yakosoa sera haribifu za Marekani katika kuzuia utekelezwaji wa azimio nambari 2231

    Iran yakosoa sera haribifu za Marekani katika kuzuia utekelezwaji wa azimio nambari 2231

    May 02, 2019 02:23

    Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa umekosoa sera za Marekani za kuzuia utekelezwaji wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama na kuzitaja sera hizo kuwa haribifu na kusisitiza kwamba azimio hilo halijaweka kizuizi katika mpango wa kawaida wa makombora ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS